Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 61,918
- 38,244
Wadau kuna tatizo kubwa la Ebola kwa nchi za Africa, mpaka sasa zaidi ya watu 3000 wamekufa. Kitu ninachofurahi ni kuona kuwa sasa Ebola imetua Spain. Mpaka sasa kuna watu 4 wamelazwa Spain. Nimefurahia kwa sababu hawa Wazungu upenda kutumia matatizo ya Africa kama fursa ya biashara ya kuuza dawa.
Mfano; mimi naamini kama Malaria na ukimwi ingekuwa ni tatizo ulaya, mpaka sasa wangekuwa wamepata chanjo zake, lakini kwa kuwa ni magonjwa yaliyo Ulaya, utaona wala hawajiangaishi, lakini utaona kuna dawa ya Malaria ya kutoka Ujerumani, dawa kutoka Italia wakati kwao huo ugonjwa haupo kabisa isipokuwa wanajitahidi kugundua dawa ili wauze Africa.
Sasa nimefurahi kuona Ebola imevuka mipaka na kutua Spain Ulaya .Ingawa naamini matatizo ya Africa yanapaswa kutatuliwa na Waafrica wenyewe.
Nimefurahi kwa kuwa imetua hadi kwa Wazungu maana hii itaongeza kasi ya kutafuta dawa
==============================
Chanzo: BBC
loh na wao wanasherekea gonjwa jipya huko uganda
inasababishwa na mapopo