Mgonjwa Ebola abainika Hispania

Mgonjwa Ebola abainika Hispania

Ndiyo nakubaliana na wewe katika historia haijawai kutokea ila hujui historia ya watu wa ukanda huu!! Watu hawa wanakula sana wanyama jamii ya nyani kwa wingi na kuwakataza ni ngumu sana. Watu hawa wanakula popo (bats) na wanyama hawa wana virus vya ebola EVD watu hawa bado wako nyuma kimaendeleo na uelwa wao pia uko hivyo, watu hawa ni maskini sana kwa hiyo hata serikali haizina uwezo wa kuwa na wahudumu wa afya. Nitakufa mfano. nchi nzima ya Liberia mpaka ugonjwa unaingia ilikuwa na madaktari 50 nchi nzima, wengine wamekufa sasa na wengine wamekimbia. Imagine Ebola imeingia Hospital kuu ya nchi ikafungwa kabisa, badala yake watu wengi wamekufa kwa malaria, typhoid, etc na wengi ebola yenyewe. Mpaka tarehe 4 October watu ambao wanahisi au kunfirmed ni ebola wamefikia 3,921 kwa Liberia. Ambao ni confirmed EVD ni 935. Wale waliokufa kwa wakiwa confirmed na magonjwa ambayo yako related na EVD ni 1012. Kwa hiyo nakushauri ushabiki mwingine uwe unaweka pembeni

Mkuu EBOLA imekuwepo Africa lakini siyo kali kama hii, hii imetengenezwa. Unajua iko hivi; Kuna viwanda vya dawa Ulaya vinatafuta jinsi ya kufanya biashara, huwa wanawatuma wataalam wao kufanya experiment, katika experiment hizo huwa wanaambukiza watu kwa maksudi hili waone jinsi ya kupima dawa zao, wanatengeza virusi na baadae vinawashinda kuvitibu. Kwanini hayo majaribio wasifanye nchini kwao?

Soma hii Ebola Virus Outbreak 2014: Liberian Professor Claims U.S. Manufactured Disease : News : Headlines & Global News
 
Huyu Mwananchi inaonekana ndio wale wakiwaona wazungu wanajichekelesha chekelesha

Hawa watu hawawajui wazungu, wanafanyia experiment Africa, wanatengeneza virusi vinawashinda kuvitibu. Lakini lengo kubwa ni kuangalia jinsi ya kutengeneza dawa za kuuza
 
Nkobe.....!!
Hivi umerudia kusoma kile ulichoandika?
Unafurahia coz Ebola sasa haipo africa pekee, bali wazungu nao wamepatwa na hilo gonjwa?
 
Last edited by a moderator:
Nkobe.....!!
Hivi umerudia kusoma kile ulichoandika?
Unafurahia coz Ebola sasa haipo africa pekee, bali wazungu nao wamepatwa na hilo gonjwa?
 
Last edited by a moderator:
Ndiyo maana nakwambia huwajui Waliberia kwa hiyo hata kusoma hayo maelezo ya Professor hujui unasoma mtu gani. Kama wasomi wanaweza kuamasisha watu wasitumie maji ya Chloride eti seriakali imeweka maji ya kuoshea maiti ili watu wafe wengi na serikali ipate pesa na watu wengi wakaamini au kwamba mbunge mwakilishi anawaamisisha watu wavamie Isolation centre na kuwatimua wagonjwa na kuiba magodolo na mashuka ya wagonjwa. matokeo yake watu wa eneo ilo wamepukutika. tafuta habari utaelewa zaidi kuliko kubisha bila data
Mkuu EBOLA imekuwepo Africa lakini siyo kali kama hii, hii imetengenezwa. Unajua iko hivi; Kuna viwanda vya dawa Ulaya vinatafuta jinsi ya kufanya biashara, huwa wanawatuma wataalam wao kufanya experiment, katika experiment hizo huwa wanaambukiza watu kwa maksudi hili waone jinsi ya kupima dawa zao, wanatengeza virusi na baadae vinawashinda kuvitibu. Kwanini hayo majaribio wasifanye nchini kwao?

Soma hii Ebola Virus Outbreak 2014: Liberian Professor Claims U.S. Manufactured Disease : News : Headlines & Global News
 
Nkobe.....!!
Hivi umerudia kusoma kile ulichoandika?
Unafurahia coz Ebola sasa haipo africa pekee, bali wazungu nao wamepatwa na hilo gonjwa?

Mimi nimefurahi tupambane nalo wote, labda dawa itapatikana
 
Wadau kuna tatizo kubwa la Ebola kwa nchi za Africa, mpaka sasa zaidi ya watu 3000 wamekufa. Kitu ninachofurahi ni kuona kuwa sasa Ebola imetua Spain. Mpaka sasa kuna watu 4 wamelazwa Spain. Nimefurahia kwa sababu hawa Wazungu upenda kutumia matatizo ya Africa kama fursa ya biashara ya kuuza dawa.

Mfano; mimi naamini kama Malaria na ukimwi ingekuwa ni tatizo ulaya, mpaka sasa wangekuwa wamepata chanjo zake, lakini kwa kuwa ni magonjwa yaliyo Ulaya, utaona wala hawajiangaishi, lakini utaona kuna dawa ya Malaria ya kutoka Ujerumani, dawa kutoka Italia wakati kwao huo ugonjwa haupo kabisa isipokuwa wanajitahidi kugundua dawa ili wauze Africa.

Sasa nimefurahi kuona Ebola imevuka mipaka na kutua Spain Ulaya .Ingawa naamini matatizo ya Africa yanapaswa kutatuliwa na Waafrica wenyewe. Nimefurahi kwa kuwa imetua hadi kwa Wazungu maana hii itaongeza kasi ya kutafuta dawa
Ngoja tuone hiyo shughuli itakuwaje.

hujui unachosema na umedhihirisha upumbavu wako

Utakufa kwa Ebola mazee
 
hujui unachosema na umedhihirisha upumbavu wako

Utakufa kwa Ebola mazee

Sitakufa, wewe ujaelewa namaanisha nini, ebu soma nilichoandika. Sifurahii Ebola, lakini nimependa kwa kuwa sasa hadi Ulaya imetua, itasaidia kasi ya kuiangamiza.
 
Nkobe.....!!
Hivi umerudia kusoma kile ulichoandika?
Unafurahia coz Ebola sasa haipo africa pekee, bali wazungu nao wamepatwa na hilo gonjwa?
Anashindwa kuelewa kuwa bila wazungu kujitoa na kuhudumia wagonjwa huko west Africa basi Ebola isingefika Ulaya
 
Sitakufa, wewe ujaelewa namaanisha nini, ebu soma nilichoandika. Sifurahii Ebola, lakini nimependa kwa kuwa sasa hadi Ulaya imetua, itasaidia kasi ya kuiangamiza.

usifurahie binadamu yoyote kuteseka kwa namna yoyote ile

If Ebola was contained in one country, then the disease will die via natural selection, but if it spreads, then you cant contain it

Jaribu kusoma historia za magonjwa mengine kama ukoma na kwa nini uliua watu wengi

usisifie ujinga simply because kuna attention au more money

You need those medicinies anyway kupona and those who produce the medicines need to be paid for the efforts they are making
 
Soma hii Link ndipo utanielewaa, kuna watu wanatengeneza virus kwa lengo la kufanya experiment, waambukiza watu kwa maksudi ili kufanya majaribio, kwanini hizo experiment wasifanyie watu wao.

Soma hii Ebola Virus Outbreak 2014: Liberian Professor Claims U.S. Manufactured Disease : News : Headlines & Global News
Nimeipitia hii article ya Huyo professor na nilichoona ni kukosekana kwa nguvu ya ushawishi na ushahidi wakuonesha kuwa Ebora ni biological weapon ya marekani kisa uwepo wa wanasayansi wa kimarekani nchini Liberia. Kuna articles nyingi zinazojaribu kuelezea the outbreak of Ebora and it's consequences. Wengi wa wananchi wa pande zile za wanasema Kuwai there is no Such a thing called Ebora in bush meets since monkeys and bats have been eaten many years ago, since the time of their ancestors untill now. Serikali ya Liberia imeshapiga marufuku uwindaji na uuzaji wa Nyama mwitu lakini Watu bado wanaendelea na kula cos it's their main sorce of protein na hawataki kuisikiliza serikali wakisema kwamba serikali imetangaza kuna Ebora Kwaajili ya kupata misaada kutoka kwa nchi fadhili.
Kikubwa ni kuongeza uelimishaji na serikali kuchukua hatua za ziada katika kuhakikisha ugonjwa huo hauenei nchi nzima
 
hivi hii mechi ya Benin haiwezi kuhairishwa???? hawa viongozi wetu mbona ni vilaza hivi arghh! hawataki hata kutumia akili kidogo tu?
 
Kuna mtu ameniambia ni mtaalamu kuwa magonjwa walifanyia majaribio ya magonjwa hayo ebora ata ukimwi uko kongo .ni virus wanazalishwa mahabara wanafanyia utafiti kuona namna wanaweza tibu pia .Na kufanya biashara.

Wanatumia pesa kubwa sana kwenye mahabara.Na hizo dawa kama za ebora zipo watu wanapona sijui Afrika kama wanapona.
 
Back
Top Bottom