Mgonjwa Ebola abainika Hispania

Mgonjwa Ebola abainika Hispania

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,107
Reaction score
34,930
141007014531_ebola_outbreak_nurse_infected_in_spain_304x171_ap_nocredit.jpg

Madaktari wa Ebola

Uchunguzi unaendelea katika hospitali ya Madrid nchini Hispania kutokana na muuguzi mmoja nchini humo kuwa mtu wa kwanza kubainika kuwa na virusi vya ugonjwa wa Ebola anaodaiwa kuwa aliambukizwa virusi vya ugonjwa huo kutoka nchi za Afrika Magharibi.

Muuguzi huyo alikuwa miongoni mwa kikosi cha madaktari waliowati rai wamisionari wawili waliokufa kutokana na ugonjwa huo baada ya kurejeshwa nyumbani kwao wakitokea nchi za Afrika Magharibi.
Hata hivyo hospitali hapo kwa sasa kuna uangalizi mkubwa huku vifaa vya kujikinga na vifaa vya kiafya ili kuzuia maambukizi ya virusi vya ugonjwa huo.
zaidi ya watu 3000 kutoka Afrika Magharibi wamekufa kutokana na ugonjwa wa Ebola katika mlipuko wa ugonjwa huo uliotokea hivi karibuni. chanzo.
http://www.bbc.co.uk/swahi…/habari/2014/…/141007_ebola_spain
 
Wadau kuna tatizo kubwa la Ebola kwa nchi za Africa, mpaka sasa zaidi ya watu 3000 wamekufa. Kitu ninachofurahi ni kuona kuwa sasa Ebola imetua Spain. Mpaka sasa kuna watu 4 wamelazwa Spain. Nimefurahia kwa sababu hawa Wazungu upenda kutumia matatizo ya Africa kama fursa ya biashara ya kuuza dawa.

Mfano; mimi naamini kama Malaria na ukimwi ingekuwa ni tatizo ulaya, mpaka sasa wangekuwa wamepata chanjo zake, lakini kwa kuwa ni magonjwa yaliyo Ulaya, utaona wala hawajiangaishi, lakini utaona kuna dawa ya Malaria ya kutoka Ujerumani, dawa kutoka Italia wakati kwao huo ugonjwa haupo kabisa isipokuwa wanajitahidi kugundua dawa ili wauze Africa.

Sasa nimefurahi kuona Ebola imevuka mipaka na kutua Spain Ulaya .Ingawa naamini matatizo ya Africa yanapaswa kutatuliwa na Waafrica wenyewe.

Nimefurahi kwa kuwa imetua hadi kwa Wazungu maana hii itaongeza kasi ya kutafuta dawa
==============================

Tume ya Ulaya imeitaka Hispania kueleza ambavyo muuguzi huyo aliambukizwa Ebola na kuzua hofu ulaya
141007102034_spain_512x288_ap_nocredit.jpg

Tume ya Ulaya imeitaka Uhispania kueleza ambavyo muuguzi aliambukizwa Ebola mjini Madrid na kumfanya kuwa mtu wa kwanza kuambukizwa ugonjwa huo nchini humo kutoka Afrika Magharibi.
Muuguzi huyo ambaye amewekwa karantini alikuwa sehemu ya kukindi cha matabibu waliowatibu wamishonari wawili waliofariki kutokana na ugonjwa huo nchini humo.
Maafisa wa Afya nchini hispania wanasema kuwa muuguzi huyo anapokea matibabu.

Maafisa wakuu wanasema kuwa watu wnegine watatu wanachunguzwa hospitalini baada ya kushukiwa kuwa na dalili za Ebola. Watatu hao ni pamoja na mumewe muuguzi huyo , mfanyakazi mwingine wa afya na msafiri mmoja kutoka Afrika Magharibi.

Afisa mmoja wa afya nchini Hispania anasema kuwa muuguzi huyo angetengwa awali baada ya kugundulika kuwa na virusi hivyo.
Takriban watu 3,400 wamefariki kutokana na Ebola wengi wao wakiwa Afrika Magharibi.
Muuguzi huyo mwenye umri wa miaka 40,ambaye hajatajwa alikuwa anafanya kazi katika hospitali ya Carlos 111 mjini Madrid na alihusika katika juhudi za kuwatibu makasisi Maneul Garcia na Miguel Pajares waliofariki kutokana na Ebola.

Wote waliambukizwa Ebola wakiwa nchini Liberia katika shughuli za kimishionari.
Muuguzi huyo aliingia katika chumba alimokuwa mmoja wa wamishionari hao kumhuduumia na kusaficha chumba hicho baada ya kifo cha mmoja wao. Hata hivyo nyakati zote alipokuwa anafnya kazi yake alikuwa amevalia magwanda ya kujikinga kutokana na maambukizi

Maafisa wa afya wanasema hawajui chanzo cha maambukizi kwa muuguzi huyo maana alikuwa amevalia magwanda na hapoakuwa na taarifa za ajali yoyote iliyomuweka muuguzi huyo katika hatari ya kuambukizwa.

Chanzo: BBC
 
Nadhani hujielewi na hujui ukubwa na hatari ya ugonjwa huu? Mpaka sasa bila wazungu hao ambao wengine wanajitoa kwa moyo wao kusaidia Liberia, Sierra Leone na Guine wangeweza kuisha. Wazungu hao ndio wanatibu Waafrica wanaopelekwa kwenye Isolation. Unatakiwa ujue médecins san frontiere (MSF) na Centre na U.S. Centers for Disease Control and Prevention (CDC) ndio wanaingia nyumba kwa nyumba kuchukua wagonjwa, kuondoa maiti.
Watu tusiwe tunakimbilia mambo ya kibaguzi bila kujua madhara gani au ni kiasi gani watu hao unaowabagua ndio wanakupa msaada. Ni sawa na mtu kuchukia wasomi wakati akiumwa anakimbilia hospitali kwa madaktari
 
Wewe ndiye hujielewi,,
mangojwa wamayategeza wao kwenye maabara yao. wanayaleta afrika hafu wajifanya wanatoa misaada.
 
Nadhani hujielewi na hujui ukubwa na hatari ya ugonjwa huu? Mpaka sasa bila wazungu hao ambao wengine wanajitoa kwa moyo wao kusaidia Liberia, Sierra Leone na Guine wangeweza kuisha. Wazungu hao ndio wanatibu Waafrica wanaopelekwa kwenye Isolation. Unatakiwa ujue médecins san frontiere (MSF) na Centre na U.S. Centers for Disease Control and Prevention (CDC) ndio wanaingia nyumba kwa nyumba kuchukua wagonjwa, kuondoa maiti.
Watu tusiwe tunakimbilia mambo ya kibaguzi bila kujua madhara gani au ni kiasi gani watu hao unaowabagua ndio wanakupa msaada. Ni sawa na mtu kuchukia wasomi wakati akiumwa anakimbilia hospitali kwa madaktari

Hata siku moja mzungu hatoi msaada kwa Muafrica. Jiulize kwanini watu wao wakiugua wanawachukua na kuwaponesha, hiyo Ebola imeongezwa makali na hao wazungu. Katika historia Africa haijawahi kutokea Ebola ya namna hiyo
 
Wadau kuna tatizo kubwa la Ebola kwa nchi za Africa, mpaka sasa zaidi ya watu 3000 wamekufa. Kitu ninachofurahi ni kuona kuwa sasa Ebola imetua Spain. Mpaka sasa kuna watu 4 wamelazwa Spain. Nimefurahia kwa sababu hawa Wazungu upenda kutumia matatizo ya Africa kama fursa ya biashara ya kuuza dawa.

Mfano; mimi naamini kama Malaria na ukimwi ingekuwa ni tatizo ulaya, mpaka sasa wangekuwa wamepata chanjo zake, lakini kwa kuwa ni magonjwa yaliyo Ulaya, utaona wala hawajiangaishi, lakini utaona kuna dawa ya Malaria ya kutoka Ujerumani, dawa kutoka Italia wakati kwao huo ugonjwa haupo kabisa isipokuwa wanajitahidi kugundua dawa ili wauze Africa.

Sasa nimefurahi kuona Ebola imevuka mipaka na kutua Spain Ulaya .Ingawa naamini matatizo ya Africa yanapaswa kutatuliwa na Waafrica wenyewe.
Ngoja tuone hiyo shughuli itakuwaje.

Jiandae Benini wanaileta DSM, vinginevo washauri viongozi wako waahilishe gem kunusuru uhai wa Taifa la Tanzania, maana hawaoni mbali wala hawaioni hiyo hatari.
 
Nadhani hujielewi na hujui ukubwa na hatari ya ugonjwa huu? Mpaka sasa bila wazungu hao ambao wengine wanajitoa kwa moyo wao kusaidia Liberia, Sierra Leone na Guine wangeweza kuisha. Wazungu hao ndio wanatibu Waafrica wanaopelekwa kwenye Isolation. Unatakiwa ujue médecins san frontiere (MSF) na Centre na U.S. Centers for Disease Control and Prevention (CDC) ndio wanaingia nyumba kwa nyumba kuchukua wagonjwa, kuondoa maiti.
Watu tusiwe tunakimbilia mambo ya kibaguzi bila kujua madhara gani au ni kiasi gani watu hao unaowabagua ndio wanakupa msaada. Ni sawa na mtu kuchukia wasomi wakati akiumwa anakimbilia hospitali kwa madaktari

Amekufanya mtumwa, akaendelea kukuweka chini ya ukoloni, anaendelea kukuita Nyani, huyohuyo atakuonea huruma?
 
Aiseee we jamaa........umenichosha..........tchaaaa........
 
Wacha na wao wafe... yamezoea kututengenezea sisi hayo magonjwa!
 
Wadau kuna tatizo kubwa la Ebola kwa nchi za Africa, mpaka sasa zaidi ya watu 3000 wamekufa. Kitu ninachofurahi ni kuona kuwa sasa Ebola imetua Spain. Mpaka sasa kuna watu 4 wamelazwa Spain. Nimefurahia kwa sababu hawa Wazungu upenda kutumia matatizo ya Africa kama fursa ya biashara ya kuuza dawa.

Mfano; mimi naamini kama Malaria na ukimwi ingekuwa ni tatizo ulaya, mpaka sasa wangekuwa wamepata chanjo zake, lakini kwa kuwa ni magonjwa yaliyo Ulaya, utaona wala hawajiangaishi, lakini utaona kuna dawa ya Malaria ya kutoka Ujerumani, dawa kutoka Italia wakati kwao huo ugonjwa haupo kabisa isipokuwa wanajitahidi kugundua dawa ili wauze Africa.

Sasa nimefurahi kuona Ebola imevuka mipaka na kutua Spain Ulaya .Ingawa naamini matatizo ya Africa yanapaswa kutatuliwa na Waafrica wenyewe.
Ngoja tuone hiyo shughuli itakuwaje.

Hivi huwa unasali kanisa Gani wewe,yaani kama mie ndio Mchungaji wako bora niongoze mawe kuliko muumini mwenye upeo mdogo namna hii.
 
Nimekwambia mambo husiyoyajua usiingie kichwa kichwa kuyatolea maelezo. Hujui kuna wazungu wamekufa pamoja na kukimbizwa kwenye hospitali zao, hujui hao waliokufa ndio wameambukiza wenzao. Mfano huyo Kasisi Mspain. Je hujui hao wazungu wameponya watu wengi wa Ebola na sasa wameshatoka kwenye Isolation centres? tafuta information kwanza ndio uje kutupa maelezo yako
Hata siku moja mzungu hatoi msaada kwa Muafrica. Jiulize kwanini watu wao wakiugua wanawachukua na kuwaponesha, hiyo Ebola imeongezwa makali na hao wazungu. Katika historia Africa haijawahi kutokea Ebola ya namna hiyo
 
Inaonekana uko dunia nyingine na si bure wa kuhurumiwa. Utakapokuja kuelewa utakuwa umechelewa
Amekufanya mtumwa, akaendelea kukuweka chini ya ukoloni, anaendelea kukuita Nyani, huyohuyo atakuonea huruma?
 
Hivi huwa unasali kanisa Gani wewe,yaani kama mie ndio Mchungaji wako bora niongoze mawe kuliko muumini mwenye upeo mdogo namna hii.

Huwa sina imani na Wazungu, historia yao ya utumwa imeniathiri kiakili
 
Inaonekana uko dunia nyingine na si bure wa kuhurumiwa. Utakapokuja kuelewa utakuwa umechelewa

Mkuu ukienda pale Amani Muheza, kuna wazungu wamefanya utafiti wa Malaria, lakini matokeo yake hizo tafiti wanapelekea viwanda vyao ulaya ili watengeneze dawa za kuuza AFRICA
 
Hata siku moja mzungu hatoi msaada kwa Muafrica. Jiulize kwanini watu wao wakiugua wanawachukua na kuwaponesha, hiyo Ebola imeongezwa makali na hao wazungu. Katika historia Africa haijawahi kutokea Ebola ya namna hiyo

Ndiyo nakubaliana na wewe katika historia haijawai kutokea ila hujui historia ya watu wa ukanda huu!! Watu hawa wanakula sana wanyama jamii ya nyani kwa wingi na kuwakataza ni ngumu sana. Watu hawa wanakula popo (bats) na wanyama hawa wana virus vya ebola EVD watu hawa bado wako nyuma kimaendeleo na uelwa wao pia uko hivyo, watu hawa ni maskini sana kwa hiyo hata serikali haizina uwezo wa kuwa na wahudumu wa afya. Nitakufa mfano. nchi nzima ya Liberia mpaka ugonjwa unaingia ilikuwa na madaktari 50 nchi nzima, wengine wamekufa sasa na wengine wamekimbia. Imagine Ebola imeingia Hospital kuu ya nchi ikafungwa kabisa, badala yake watu wengi wamekufa kwa malaria, typhoid, etc na wengi ebola yenyewe. Mpaka tarehe 4 October watu ambao wanahisi au kunfirmed ni ebola wamefikia 3,921 kwa Liberia. Ambao ni confirmed EVD ni 935. Wale waliokufa kwa wakiwa confirmed na magonjwa ambayo yako related na EVD ni 1012. Kwa hiyo nakushauri ushabiki mwingine uwe unaweka pembeni

Natumai mtoa mada hatumii simu/laptop na intarnet iliyo matokeo ya wazungu, katika kupost upuuzi alioleja jamvini.
 
Back
Top Bottom