Mgonjwa aliyefanya ziara

Mgonjwa aliyefanya ziara

Joined
Apr 7, 2019
Posts
8
Reaction score
14
Kwanza nianze kwa kutambua kuwa Bunge lina Sheria, Kanuni na taratibu zake ambazo kila Mbunge ni jukumu lake kuzitii.

Ndugu Lissu tulimtambua akiwa kwenye matibabu baadae tukaona anafanya ziara katika mataifa mbalimbali na kutoa tuhuma kwa Serikali jambo ambalo hakuwai kutoa ushaidi kwa yale aliyokuwa anayasema tena akiwa mwanasheria.

Kwa tujuavyo sisi Raia tulidhani alipaswa kabla ya kuanza ziara kuandika barua kwa Spika kutaarifu Bunge kuwa hata mkiniona nazurura bado naendelea na matibabu jambo ambalo sidhani kama lilifanyika.

Lissu tulidhani ungetimiza wajibu wa kisheria kwa kujaza taarifa Muhimu kwakuwa tayari ulikuwa umepona kiasi cha kufanya ziara lakini hukufanya hivyo.

Pole sana Wakili wangu lakini hili ni fundisho la usaliti kwa Taifa lako hao tunaowaona wa maana kamwa hawachafui Serikali zao nje ya Nchi yao na wanafata na kuheshimu Sheria.

Hii ni Nchi na Taifa huru hacha kujichetua
 
Kuna tatizo mahala fulani... wagonjwa huwa tunaona wagonjwa wamefanyiwa upasuaji hata kwenye hospitali zetu wakifanya mazoezi.... (ya kimwili na kujiweka sawa kiakili) labda kwa sababu TL amekwenda kufanya mazoezi mbali kuliko wauwaji walivyotarajia.... labda kwa sababu TL ametibiwa hospitali bora kuliko zi apollo ambazo huaminiwa na malofa...

Ukweli huwa haujifichi: ROHO MBAYA, CHUKI, CHOYO, UHASIDI, FITNA NA KUJIPENDEKEZA ILI MATUMBO YAJAE HAVITATUFIKISHA KOKOTE.

KUCHE KUSIKUCHE TUNATENGENEZA TAIFA LA OVYO LITAKALOKUWA NA WATU WA OVYO
TAIFA AMBALO WANAOONEKANA WAOGA LEO WATAKUWA WAOVU KESHO.

TAIFA AMBALO WAZAZI WANACHEKA LEO KWA SABABU WANA RAHA NA FURAHA WANA WAO WATALIA NA KUSAGA MENO MAANA WANAOWALISHA LEO HAWATAISHI MILELE!

KUNA KILA DALILI VISASI VINGI TUTAVIONA HUKO MBELE YA SAFARI TUOMBE UZIMA TU!
 
KAKA sindano najuwa hiyo sindano itakuwa imemuingia vizuri sana aliyekuwa mheshimiwa lissu maana huyu sheria anazijua halafu anazivunja makusudi kwakuzani kuwa katiba inaweza kuvunjwa halafu ukapata msamaha wa kuhurumiwa kwakuwa wewe ni kiongozi wa upinzani eti wataonekana wanakuonea katu sheria ni msumeno kula jeuri yako hakuna kuvunja katiba harafu uhurumiwe hayo ndiyo malipo ya ke tundu lissu
 
Mbona wahanga wa ajali huwa wanaalikwa hadi studio za televisheni kuelezea yaliyowakuta huku wakiwa bado wanajitibu.

Lissu nae alialikwa kwenda kuelezea ajali iliyomkuta nje ya kumbi za Bunge tukufu.
 
Kwanza nianze kwa kutambua kuwa Bunge lina Sheria, Kanuni na taratibu zake ambazo kila Mbunge ni jukumu lake kuzitii.

Ndugu Lissu tulimtambua akiwa kwenye matibabu baadae tukaona anafanya ziara katika mataifa mbalimbali na kutoa tuhuma kwa Serikali jambo ambalo hakuwai kutoa ushaidi kwa yale aliyokuwa anayasema tena akiwa mwanasheria.

Kwa tujuavyo sisi Raia tulidhani alipaswa kabla ya kuanza ziara kuandika barua kwa Spika kutaarifu Bunge kuwa hata mkiniona nazurura bado naendelea na matibabu jambo ambalo sidhani kama lilifanyika.

Lissu tulidhani ungetimiza wajibu wa kisheria kwa kujaza taarifa Muhimu kwakuwa tayari ulikuwa umepona kiasi cha kufanya ziara lakini hukufanya hivyo.

Pole sana Wakili wangu lakini hili ni fundisho la usaliti kwa Taifa lako hao tunaowaona wa maana kamwa hawachafui Serikali zao nje ya Nchi yao na wanafata na kuheshimu Sheria.

Hii ni Nchi na Taifa huru hacha kujichetua
MaCCM na akili za mandazi.
haya kapokee buku 7 yako.
 
Mbona wahanga wa ajali huwa wanaalikwa hadi studio za televisheni kuelezea yaliyowakuta huku wakiwa bado wanajitibu.

Lissu nae alialikwa kwenda kuelezea ajali iliyomkuta nje ya kumbi za Bunge tukufu.
Mimi siungi mkono alichokifanya kwa ubinadamu lakini nikija kwa ulichokisema hapa unadanganya maana ile ilikua ni ziara ambayo walioitayarisa walimshauri vibaya Lissu. Kama mambo yangeenda kama walivyotarajia ilitakiwa iwe ziara ya mafanikio lakini nijuavyo haikua ya mafanikio. Hivyo ulichokisema ni uongo Lissu hakualikwa ila alidanganywa na baadhi ya rafiki zake ama viongozi wake. Alitakiwa kutumia akili. Lissu atambue kuwa hapigwi vita na CCM tu bali hata huko upinzani ni tishio hivyo walimtengenezea mazingira ambayo yalishusha (polls) ambazo zilikua juu kabla ya ziara.

hili liwe fundisho kwa baadhi ya wapinzani kujitahidi kuwa out smart ccm na serikali yao ama sivyo hawatawaweza katu.

Pole sana mheshimiwa Lissu
 
KAKA sindano najuwa hiyo sindano itakuwa imemuingia vizuri sana aliyekuwa mheshimiwa lissu maana huyu sheria anazijua halafu anazivunja makusudi kwakuzani kuwa katiba inaweza kuvunjwa halafu ukapata msamaha wa kuhurumiwa kwakuwa wewe ni kiongozi wa upinzani eti wataonekana wanakuonea katu sheria ni msumeno kula jeuri yako hakuna kuvunja katiba harafu uhurumiwe hayo ndiyo malipo ya ke tundu lissu
Anavunja makusudi asipochukuliwa hatua anawaona watu wadhaifu na wapuuzi.
 
hiyo siyo point yaani mtu anafanya ziara na kuongea uozo wake huko na kuikashfu nchiyake mwenyewe halafu mnasema hawezi kutoa hata taarifa zake mwenyewe bungeni ? huo ni ujinga kama aliofanya mbowe akafutiwa zamana akasota gerezani sijui mshauri wao huwa ni shetani gani
Hivi kusema watu wanatekwa ni kashfa wakati ni ukweli? Wanashambuliwa ni kukashifu nchi wakati yeye mwili mzima umecharazwa mikasi? Ulitaka akamsifie jiwe?
 
Kwanza nianze kwa kutambua kuwa Bunge lina Sheria, Kanuni na taratibu zake ambazo kila Mbunge ni jukumu lake kuzitii.

Ndugu Lissu tulimtambua akiwa kwenye matibabu baadae tukaona anafanya ziara katika mataifa mbalimbali na kutoa tuhuma kwa Serikali jambo ambalo hakuwai kutoa ushaidi kwa yale aliyokuwa anayasema tena akiwa mwanasheria.

Kwa tujuavyo sisi Raia tulidhani alipaswa kabla ya kuanza ziara kuandika barua kwa Spika kutaarifu Bunge kuwa hata mkiniona nazurura bado naendelea na matibabu jambo ambalo sidhani kama lilifanyika.

Lissu tulidhani ungetimiza wajibu wa kisheria kwa kujaza taarifa Muhimu kwakuwa tayari ulikuwa umepona kiasi cha kufanya ziara lakini hukufanya hivyo.

Pole sana Wakili wangu lakini hili ni fundisho la usaliti kwa Taifa lako hao tunaowaona wa maana kamwa hawachafui Serikali zao nje ya Nchi yao na wanafata na kuheshimu Sheria.

Hii ni Nchi na Taifa huru hacha kujichetua
Mkuu mbona atujakuona kwenye maandamano ya kupongeza
 
mmmhh yaani wewe nitakuwa hata sikujibu ukicomet maana unafikiria kwa kutumia makalio hujui hata sheria katiba inasemaje unataka ahurumiwe amekuwa nani yeye
Hivi mwanafamilia wako akipigwa risasi mbele ya central police station halafu polisi hata hawafuatilii na zaidi kamishna wa polisi anaenda kazini kwake na kuwaanbia wamsimamishe kazi...huwezi kumhurumia?!
 
Back
Top Bottom