Mgonjwa aliyefanya ziara

Mgonjwa aliyefanya ziara

..lakini si alionekana akitembea kwa kutumia MAGONGO?

..na CCM walikuwa wakimcheka kuwa amekuwa amekuwa kilema!

..na katika ziara hiyo TL alieleza kuwa angerejea Ubelgiji kwa operation ambayo ingekuwa ya mwisho ktk mguu wake.

..mimi nadhani Spika alipaswa kuwasiliana na TL kabla ya kuchukua hatua ya kumfukuza.

..Spika alipaswa kumsikiliza TL ili kujiridhisha kama ni mtoro, au kuna matibabu anaendelea nayo.
Ukitembea kwa kusaidia na gongo ndio huwezi kuandika barua?? Kama aliweza kufanya media tour kutoka bara moja hadi jingine, kutoka nchi moja hadi nyingine, kwa nini ashindwe kutoa taarifa zake bungeni? Je, CHADEMA na wao walikuwa wagonjwa hadi wakashindwa kutoa taarifa rasmi bungeni???

Hakuna justifications hapa zaidi ya kibri cha Lissu, hata uongozi wa CDM ulikuwa unajua Lissu anatakiwa kutoa taarifa bungeni ila waliona kufanya hivyo ni kama “kujishusha”. Sasa acha wale matunda ya kibri yao.

Bunge kuna wengi ambao wanakuwa mahtuti hata zaidi ya Lissu, ila kwa kuwa hawana kibri watafikisha taarifa hata kwa kutumia uongozi wa chama au viongozi wao bungeni. Basi tuendelee kumjaza kibri huku tukimuita kiongozi wa myoyo yetu ☺️
 
Kwanza nianze kwa kutambua kuwa Bunge lina Sheria, Kanuni na taratibu zake ambazo kila Mbunge ni jukumu lake kuzitii.

Ndugu Lissu tulimtambua akiwa kwenye matibabu baadae tukaona anafanya ziara katika mataifa mbalimbali na kutoa tuhuma kwa Serikali jambo ambalo hakuwai kutoa ushaidi kwa yale aliyokuwa anayasema tena akiwa mwanasheria.

Kwa tujuavyo sisi Raia tulidhani alipaswa kabla ya kuanza ziara kuandika barua kwa Spika kutaarifu Bunge kuwa hata mkiniona nazurura bado naendelea na matibabu jambo ambalo sidhani kama lilifanyika.

Lissu tulidhani ungetimiza wajibu wa kisheria kwa kujaza taarifa Muhimu kwakuwa tayari ulikuwa umepona kiasi cha kufanya ziara lakini hukufanya hivyo.

Pole sana Wakili wangu lakini hili ni fundisho la usaliti kwa Taifa lako hao tunaowaona wa maana kamwa hawachafui Serikali zao nje ya Nchi yao na wanafata na kuheshimu Sheria.

Hii ni Nchi na Taifa huru hacha kujichetua

Kama NI Riwaya Basi wewe NI Riwaya ya Kichwa maji,

Unaweza ukatoa uthibitisho wa cheti Cha DAKTARI Tundu lisu alipona? Maana Serikali inafanya kazi kwa documenti za maandishi, Sasa Spika kafanya maamuzi hayo kwa cheti kipi alichonacho kinachothibitisha Lisu alishapona?KAMA HANA HICHO CHETI BASI LISU BADO NI MGONJWA. ISITOSHE ANACHOUMWA NI MIGUU SIYO MDOMO KWANI KUNA SHERIA INAYOZUIA MGONJWA KUTOA MAONI YAKE? Acha uzwazwa mtoto wakike.
 
Ukitembea kwa kusaidia na gongo ndio huwezi kuandika barua?? Kama aliweza kufanya media tour kutoka bara moja hadi jingine, kutoka nchi moja hadi nyingine, kwa nini ashindwe kutoa taarifa zake bungeni? Je, CHADEMA na wao walikuwa wagonjwa hadi wakashindwa kutoa taarifa rasmi bungeni???

Hakuna justifications hapa zaidi ya kibri cha Lissu, hata uongozi wa CDM ulikuwa unajua Lissu anatakiwa kutoa taarifa bungeni ila waliona kufanya hivyo ni kama “kujishusha”. Sasa acha wale matunda ya kibri yao.

Bunge kuna wengi ambao wanakuwa mahtuti hata zaidi ya Lissu, ila kwa kuwa hawana kibri watafikisha taarifa hata kwa kutumia uongozi wa chama au viongozi wao bungeni. Basi tuendelee kumjaza kibri huku tukimuita kiongozi wa myoyo yetu
Sawa kabisa ni uko sawa
 
..lakini si alionekana akitembea kwa kutumia MAGONGO?

..na CCM walikuwa wakimcheka kuwa amekuwa amekuwa kilema!

..na katika ziara hiyo TL alieleza kuwa angerejea Ubelgiji kwa operation ambayo ingekuwa ya mwisho ktk mguu wake.

..mimi nadhani Spika alipaswa kuwasiliana na TL kabla ya kuchukua hatua ya kumfukuza.

..Spika alipaswa kumsikiliza TL ili kujiridhisha kama ni mtoro, au kuna matibabu anaendelea nayo.
Nini kilimzuia kujanza fomu za tamko la mali?
 
Kwenda kuzungumza na vyombo vya habari ndiyo kupona?
Au unadhani wagojwa wote bongo zao ni gonjwa na midomo yao haiwezi kuongea?
Ndugu tuache unafiki Mgonjwa anaalikwa kwenye makongamano..
Anaalikwa kwenye midahalo....
Mgonjwa anaalikwa jukwaa la Diaspora...
Mgonjwa anaalikwa Mihadhara ya vyuo vikuu..
Hata kama aina ya ugonjwa wake unaruhusu bado ni matakwa ya kanuni yeye aainishe hayo...
Kama hayo kaweza ameshindwaje kuandika Official mail moja tu kwa ofisi ya spika kumtaarifu mahali alipo hali aliyonayo na maendeleo yake akiambatanisha na nyaraka muhimu za hospitali kama kadi vipimo na maelezo ya DAKTARI..???
Kibaya zaidi alitaarifiwa juu tatizo hili la kutokuwepo taarifa rasmi miezi sita ya nyuma na yeye akatuambia wanampango wa kumhujumu ... alichukua hatua gani???
Ameshindwa vip kuweka kumbukumbu zake OFFICIAL...
Ofisi ya Bunge inamuona tuu JF bila taarifa yoyote kweli??
Hata ukifunga ndoa kwa SHEREHE bado utatakiwa kutambulishwa ukweni au kurudisha miguu
Ni matakwa ya sheria
 
Nini kilimzuia kujanza fomu za tamko la mali?

..bila kumuita, na kumsikiliza, hatuwezi kujua kama ana sababu za msingi au la.

..Ndiyo maana nimekuwa nikisisitiza kwamba, Spika kabla ya kufikia uamuzi wake, alipaswa kumsikiliza TL, na ingependeza zaidi kama angeushirikisha uongozi wa kambi ya upinzani.

Cc mtanzania1989
 
Hopeless argument to come from only a very hopeless mind.
Mleta hoja ni mwendawazimu mwingine. Kigwangala alipopata ajali, siku ya pili tu alizungumza na vyombo vya habari. Je, alikuwa amepona?
Ina maana wewe huoni tofauti ya kuzungumza na waandishi wa habari na kutoa taarifa rasmi ofcn.
 
Back
Top Bottom