Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,596
- 5,584
Kiakiliccm kuongea na vyombo vya habari ama kusafiri inamaanisha kupona....Kwenda kuzungumza na vyombo vya habari ndiyo kupona?
Au unadhani wagojwa wote bongo zao ni gonjwa na midomo yao haiwezi kuongea?
Sishangai kuona mtoa tamko yule kuwa hata yeye ni mgonjwa na alipaswa kuwa hospitali akipata matibabu lakini ndio hivyo (patajatumika kisingizio "alikuwa mgonjwa") msameheni