Mgongo

Mgongo

ngwini

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2011
Posts
482
Reaction score
89
Wadau napenda kujua kwa nn wanawake wanapovaa fulana na suruali,lazima wainyanyue fulana kwa nyuma..kwann?
 
Ngoja waje kujibu hoja kwa mashambulizi,...........
 
teh teh humu JF saa nyengine bwana....ni nani umemuona anafanya hivyo?lol
 
Si wanataka kuonyesha walichobeba nyuma kama wanacho
 
Ngwini haujui kama biashara ni matangazo! Utakuta hata wake za watu wananyanyua flan kwa nyuma wakati hata hlo kalio hana na ni spring 2pu lol!
 
Kwa mfano kama engine ya gari ni kubwa na bonet ni ndogo unatarajia nini ? Utakuta mwanamke amefungasha nyuma kama vile anahama sasa kama fulana aliyovaa ni ndogo wee acha tu.
 
Kwa mfano kama engine ya gari ni kubwa na bonet ni ndogo unatarajia nini ? Utakuta mwanamke amefungasha nyuma kama vile anahama sasa kama fulana aliyovaa ni ndogo wee acha tu.

Kweli mkuu.so automatically k2 kinapanda juu chenyewe kama dada flan wa humu JF.
 
teh teh humu JF saa nyengine bwana....ni nani umemuona anafanya hivyo?lol

Nimewaona wengi mkuu,na nimejiuliza sana lakini jibu cjapata ndo maana nimeleta kwenu wadau mnipe mawazo!
 
Tumezoea vitop na viblauzi vidogo dogo, fulana nyingi huwa ni ndefu na kubwa kwahiyo tunaona kama zimetuvaa badala ya kuzivaa.
 
Tumezoea vitop na viblauzi vidogo dogo, fulana nyingi huwa ni ndefu na kubwa kwahiyo tunaona kama zimetuvaa badala ya kuzivaa.

Husninyo umenijibia banaa..

pointi ya nyongeza: Mungu katujalia maumbile ambayo automatically tshirt inanyanyuka yenyewe bila kuguswa
 
wanaume kama mabinti,ukisikia umbea ndio huo..
 
Back
Top Bottom