hallo wana jf mwana wa kizigua naingia humu jamvini kwa kuja kukibomoa kabisa chama cha magambazz. hivyo cdm naomba tushirikiane.people power forever!!!

Tuli vyedi kaibuni, maghamba's wasikusikie maana wako macho kukushughulikia!!!!!!!!!! Lakini usiogope CDM mbele kwa mbele, aluta continua kushughulikia CCM Maghamba's mpaka kieleweke!!!!!!!!!