Mgomo wa Walimu Manispaa ya Kinondoni (01/05/2015) muda huu

Mgomo wa Walimu Manispaa ya Kinondoni (01/05/2015) muda huu

mkuu, walimu hawajitambui hata kidogo. pesa zao zinaliwa na wajanja kila siku, wao wanakenua tu! chomeni moto jengo hilo la CWT ili liwe fundisho...kurusha mawe na chupa hakusaidii kitu. hivi ni lini hasa walimu wa tanzania watajitambua na kuacha kutumiwa na CCM kupitia CWT.

Sijui ni lini mwalimu wa TZ atakuja kujitambua, kuna mtu hapa anashangalia sh 5000 kwamba inamtosha kununua nyama, hivi kweli mwalimu wa Tz nyama ni anasa kwake????? kwa hali hii si rahisi kujitambua.
 
Kwan Ni Haki Yao Kupata?, Na Kila Mwaka Huwa Wanapata?

Mkuu ni haki yao kupata na hata wanapohudhuria kila kikao yawapasa wapate sh.5000 kwasababu hela wanayokatwa kila mwezi ni nyingi kuliko hiyo hlf wanaambiwa tu kinajenga chama.

Ila sijui kuwa mwanachama wa CWT ni lazima au ni hiari.
 
mkuu, walimu hawajitambui hata kidogo. pesa zao zinaliwa na wajanja kila siku, wao wanakenua tu! chomeni moto jengo hilo la CWT ili liwe fundisho...kurusha mawe na chupa hakusaidii kitu. hivi ni lini hasa walimu wa tanzania watajitambua na kuacha kutumiwa na CCM kupitia CWT?

Hivi kila mwalimu ni lazima awe member wa CWT? au ni hiari kujiunga.
 
Sasa wataendaje kama hawana hela?
Ina maana huko uwanjani ilikuwa lazima kwenda kama ni lazima sikungetolewa usafiri wa kuwapeleka na kuwarudisha tu tena gharama ingepunguzwa kwa kiasi kikubwa tu.
 
kwa wiki mim naenda mara moja kazini ww unaenda kila siku nalipwa TGTS G nafanya mambo yangu mda wote hta wakati mwingne bila ruhusa leo niachie buku5 dah kua mwalimu raha kweli

Mkuu hujamtendea haki huyo uliyemquote ana nia nzuri sana na hajadharau ualimu hata kidogo ila umempokea tofauti.
 
Mgomo.....????

Nilidhani wamegoma kufundisha kumbe wamegoma kwenda uwanja wa Taifa. Mbona mimi ni mfanyakazi na saa hii niko Baa napata mchemsho wa Sato, haina haja ya kujidhilisha kwa buku 5 waje huku tuungane cheers May Day.
 
Walimu Kino
 
Attachments

  • 1430479030954.jpg
    1430479030954.jpg
    71.6 KB · Views: 145
  • 1430479053665.jpg
    1430479053665.jpg
    82.8 KB · Views: 147
  • 1430479069510.jpg
    1430479069510.jpg
    67.4 KB · Views: 138
Ina maana huko uwanjani ilikuwa lazima kwenda kama ni lazima sikungetolewa usafiri wa kuwapeleka na kuwarudisha tu tena gharama ingepunguzwa kwa kiasi kikubwa tu.
Sasa wataziibaje? Wewe si umesikia gari la serikali limefanyiwa service kwa milioni 44? Utashanga kwenye taarifa ukaambiwa nauli kwa walimu kwenda uwanjani shilingi 50,000/= kila mmoja halafu walimu wakapewa 5,000=@ au hata 2,000@ Vinywaji baridi na maji 100,000/@ Tshirt, kofia na vikaratasi vya kushika mkononi jumla 150,000/= kwa kila mwalimu nk Kinachotakiwa ni maelezo tu ya kuhalalisha "matumizi"
 
Hivi mwanangu akipita njiani akanikuta mimi baba yake narusha mawe kisa 5000 si atanikana si baba yake? Kwikwikwiiii
 
Cwt ya wapi mbona kwetu wamesema chama hakina pesa, pesa ilitumika kwenye uchaguzi
 
Mkuu ni haki yao kupata na hata wanapohudhuria kila kikao yawapasa wapate sh.5000 kwasababu hela wanayokatwa kila mwezi ni nyingi kuliko hiyo hlf wanaambiwa tu kinajenga chama.

Ila sijui kuwa mwanachama wa CWT ni lazima au ni hiari.

Hivi kila mwalimu ni lazima awe member wa CWT? au ni hiari kujiunga.

Mwalimu wa Serikali kuwa mwanachama ni kama kifo vile.
 
Sasa wataziibaje? Wewe si umesikia gari la serikali limefanyiwa service kwa milioni 44? Utashanga kwenye taarifa ukaambiwa nauli kwa walimu kwenda uwanjani shilingi 50,000/= kila mmoja halafu walimu wakapewa 5,000=@ au hata 2,000@ Vinywaji baridi na maji 100,000/@ Tshirt, kofia na vikaratasi vya kushika mkononi jumla 150,000/= kwa kila mwalimu nk Kinachotakiwa ni maelezo tu ya kuhalalisha "matumizi"

Aisee ulivyochanganua lazima ofisi yako ndiyo hiyo inayopigwa mawe. Hahahahaaaaa......
Nchi hii lilia cheo tu hata kama wakimupa mshahara kiduchu wapo watu wa kuwakamua kufukia mashimo.
 
Ualimu majanga bora uwe hata mwanajeshi utaheshimiwa na serikali,, walimu wanatumiwa kama toilet paper then wanatupwa!
 
Aisee ulivyochanganua lazima ofisi yako ndiyo hiyo inayopigwa mawe. Hahahahaaaaa......
Nchi hii lilia cheo tu hata kama wakimupa mshahara kiduchu wapo watu wa kuwakamua kufukia mashimo.
Sherehe kama hizi ndio za watu kutajirika bila hofu yoyote. Kama kule alikoenda mzee wa magogoni wanazipiga halafu taarifa yake ni rahisi sana. "Maandalizi ya sherehe za mei mosi kitaifa - bilioni 5, sherehe yenyewe - bil. 7, ugeni wa rais - bil. 8, mafuta ya msafara wa rais - bil. 3, gharama za hoteli kwa maafisa waliombatana na rais - bil. 2, tshirt, kofia, vikaratasi na leso nyeupe- bil 2, maandalizi ya uwanja na usafi wa mazingira - bil.4 mengineyo - bil. 6" Sasa hapo ukijumlisha utapata jibu. Hizo hazihojiwi! Utahoji vipi matumizi ya ziara ya rais? Kumbuka kuna bilioni 1 ilitengwa kwaajili ya mazishi ya viongozi bado haijatumika na ni lazima itumike hata kama hajafa kiongozi mkubwa. Kama ikitokea akifa ndio raha. Maelezo ni rahisi sana "gharama za mazishi ya ..." milioni 999"
 
mkuu, walimu mishahara yao midogo na wanakamuliwa sana na CWT na serikali hii ya kifisadi ya CCM. 5000 ni pesa nyingi sana kwa mwalimu.

Hao walopaswa kuwapa hizo fedha wangefanya kuwapa kama mtu atajisikia kwenda aende.
 
Naona wengine waliamua kwenda kwanza halafu wataidai buku 5 yao wakirudi.
 
Attachments

  • 1430486918501.jpg
    1430486918501.jpg
    84.1 KB · Views: 148
kuna mwalimu humu anajivunia kupewa sh.5,000/= ya nauli. Walimu hamjitambui.
 
na mie nasema wakifanya vurugu wapigwe tu, tena wakifika uwanja wa taifa f.f.u muwapige tu mana hakuna namna sasa, kioo cha jamii unakosa 400 ya nauli tena nasema wapigwe tu.
 
Back
Top Bottom