Mgomo wa Walimu Manispaa ya Kinondoni (01/05/2015) muda huu

Mnachoniudhi walimu wa Tanzania ni tabia yakuona kama shida ni sehemu ya maisha yenu, hivi kweli 5000 ni hela yakupokea na kusaini kwamba umepokea hela ya nauli?????? kwanini mnakuwa wanyonge kiasi hicho nyie walimu wa Tanzania?????? Hivi mnajuaumuhimu wenu kwa hii jamii?????? mshawahi kuhesabu mazao yenu na kuona walipo sasa. Acheni unyonge simameni na mjiamini, mnaajiriwa kwa elimu zenu hivo simameni mjitetee, msiwe kama mmewekwa kwa huruma tu hapo.

kwa wiki mim naenda mara moja kazini ww unaenda kila siku nalipwa TGTS G nafanya mambo yangu mda wote hta wakati mwingne bila ruhusa leo niachie buku5 dah kua mwalimu raha kweli
 
Kama ungekuwa unapata muda wa maana wakufanya dili hiyo 5000 ungeishangaa na kuidharau kabisa maana kiuhalisia 5000 haitoshi hata kifurushi cha wiki cha muda wa maongezi, lakini wewe umeifurahia kama vile umepewa check mil 5. mmmh!!!!! hii kazi inanipa wakati mgumu sana kuitathimini, maana walimu wenyewe mmejiridhikia hata hamuoni kuwa mnaonewa, dah!!!! kweli ualimu ni wito nimekubali leo.
 
walimu walikuwa wanataka wapewe hela ya nauli ya kwenda taifa kuhudhuria sherehe za mei mosi,lakin viongoz wao wamesema waende kwanza taifa na sherehe ikiisha ndo watapewa nauli zao
Sasa wataendaje kama hawana hela?
 
Kama ungekuwa unapata muda wa maana wakufanya dili hiyo 5000 ungeishangaa na kuidharau kabisa maana kiuhalisia 5000 haitoshi hata kifurushi cha wiki cha muda wa maongezi, lakini wewe umeifurahia kama vile umepewa check mil 5. mmmh!!!!! hii kazi inanipa wakati mgumu sana kuitathimini, maana walimu wenyewe mmejiridhikia hata hamuoni kuwa mnaonewa, dah!!!! kweli ualimu ni wito nimekubali leo.

siwez kuidharau wakati haki yangu mdogo wangu,pesa ndogo inaanza kubwa ndiyo inafuata
 
Tobaaaaaaa!!!!! hiyo 5000 ni haki yako????? nyie ndio mnasaliti walimu wenzenu, ndio maana walimu wanashindwa kuungana kuwa na kauli moja sababu ya wasaliti wachache.
Niambie 5000 unanunua kiasi gani cha nyama????? na je inatosha kwa familia au ndio mnachamba koo tu???
 
kilo moja ya nyama na nyanya za jero nikinunua nusu kilo naenda na kununua zanzi moja maisha hya raha kweli afu kwenda kazini mpka ijumaa next wiki ndiyo nina kipindi kimoja
 
kama ww na mkeo inafikia wakati mnashindwa kua na kauli moja wakati mnalala kitanda kimoja sembuse walimu hyo kawaida sana
 
Mi naona wapigwe tu, maana hakuna namna sasa.

Mtu unaambiwa tumia hela yako au kopa uende kwenye sherehe, hutaki. Eti wanajanvi tufanyeje sasa, mi nawaomba wale wenye virungu muwapige tu maana hakuna namna.

Hahaha Tanzagiza
 
kilo moja ya nyama na nyanya za jero nikinunua nusu kilo naenda na kununua zanzi moja maisha hya raha kweli afu kwenda kazini mpka ijumaa next wiki ndiyo nina kipindi kimoja

Nyama kilo chini ya 5000 kweli upo kijijini ndio maana umeridhika, kazini unaenda kwa miguu, watoto wanasona shule unayofundisha, mboga ya pili unachuma upenuni kweli lazima usione tofauti, maana hukutani na changamoto yoyote, wewe mtendaji wakijiji ndio mnashindana, aisee pole. please toka ulipo njoo Duniani uzisake uone na jinsi zinavyotumia, hiyo buku 5 niyakufutia viatu tu my dear.

]kama ww na mkeo[/SIZE] inafikia wakati mnashindwa kua na kauli moja wakati mnalala kitanda kimoja sembuse walimu hyo kawaida sana

Nimeishia kucheka, kweli teacher umevurugwa lol.
 
Habari wanaukumbuki.

Muda huu kuna mgomo unaendelea wa walimu wa Manispaa ya Kinondoni, Magomeni zilipo ofisi za Wilaya ya Kinondoni.

Chanzo cha mgomo ni kutokupewa pesa za nauli ambazo zingeweza wapeleka uwanja wa taifa kuhudhuria sherehe za Mei Mosi.

Mtoa mada hujui maana ta mgomo
 
Nyama kilo chini ya 5000 kweli upo kijijini ndio maana umeridhika, kazini unaenda kwa miguu, watoto wanasona shule unayofundisha, mboga ya pili unachuma upenuni kweli lazima usione tofauti, maana hukutani na changamoto yoyote, wewe mtendaji wakijiji ndio mnashindana, aisee pole. please toka ulipo njoo Duniani uzisake uone na jinsi zinavyotumia, hiyo buku 5 niyakufutia viatu tu my dear.

Nimeishia kucheka, kweli teacher umevurugwa lol.

Mwanza secondary iko kijijini? labda km unalinganisha na shule za Las Vegas
 
Habari wanaukumbuki.

Muda huu kuna mgomo unaendelea wa walimu wa Manispaa ya Kinondoni, Magomeni zilipo ofisi za Wilaya ya Kinondoni.

Chanzo cha mgomo ni kutokupewa pesa za nauli ambazo zingeweza wapeleka uwanja wa taifa kuhudhuria sherehe za Mei Mosi.

wana hadhi/cheo gani hadi wapewe nauli? nilidhani hizo nauli wangeenda kuzidai kule ilala, sasa kinondoni nani awape hizo pesa? waache utoto wao. kinondoni na uwanja wa taifa sio mbali sana. kwanini wasitembee kwa miguu? wapuuzi nini?
 
Dah! wewe kweli mwalimu wito, CWT wanakata 2% kila mwezi kwa walimu wote TZ leo wanawapa 5000 si utani huu, loh!! wavunje tu madirisha ya hizo ofisi kama kweli wamejitambua.

mkuu, walimu hawajitambui hata kidogo. pesa zao zinaliwa na wajanja kila siku, wao wanakenua tu! chomeni moto jengo hilo la CWT ili liwe fundisho...kurusha mawe na chupa hakusaidii kitu. hivi ni lini hasa walimu wa tanzania watajitambua na kuacha kutumiwa na CCM kupitia CWT?
 
Walimu wana hali ngumu,wengi wao wamejaa madeni yenye makato makubwa.
 
5000 inakushushia heshima na kukupotezea muda...aibu kubwa hii

mkuu, walimu mishahara yao midogo na wanakamuliwa sana na CWT na serikali hii ya kifisadi ya CCM. 5000 ni pesa nyingi sana kwa mwalimu.
 
Back
Top Bottom