issa ramadhani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 1,319
- 260
Habari wanaukumbuki.
Muda huu kuna mgomo unaendelea wa walimu wa Manispaa ya Kinondoni, Magomeni zilipo ofisi za Wilaya ya Kinondoni.
Chanzo cha mgomo ni kutokupewa pesa za nauli ambazo zingeweza wapeleka uwanja wa taifa kuhudhuria sherehe za Mei Mosi.