Mgomo wa wahadhiri UDOM wanukia


Naungana nawe baadhi ya mambo ila ukweli haujui maana umekiri kuwa huwa unasikia. Wala CHADEMA hakihusiki kwa namna yeyote, tunataka mabadiliko.
 
u have no even the singlest of idea of what's hapenin in udom..acha kuongea kwa hisia na kutoa mifano ambayo ni irrelevant..mimi nimesoma udom tangu mwaka 2009 xo najua nini kinachotokea na brother mwamola pia ni mmoja wa mwanajumuiya wa udom..sisi ndo tunajua kinachoendelea udom,....hayo madai ya ma'lecturer yote yana justification na yana'make sense....kuna mama anaitwa madam aziza yeye ni assistant dean of students hapo udom..ukisikia vitu anavyowafanyia wanafunzi ambao kwa bahat mbaya wakakutwa na makosa halafu ni wakristo utasikitika mwenyewe...and the President has played a major role kuendeleza udini udom and faida ya haya mambo atayaona badaye...ni hayo 2
 
Tatizo nchi hii watu wamezoea vibaya pete avae askofu ya bahati akivaa shekh ina mapepo. Hivi ebu tuangalie muundo wa uongozi udsm, mwl nyerere, muce, duce, mashirika ya umma, makampuni hacheni hizo mbona alipokuwa mkapa hamkusema mambo ya udin na ukabila kwani yameanza leo? Waislam wakilalamika mnawabeza lkn jueni watu wameamka sasa hvi hawataki tena historia
 
 
 

Tatizo hujasoma unakurupuka kucomment, umeambiwa uongozi wa chuo hautaki na umekataa katu kukutana na wahadhiri, sasa wakianzia ngazi za idara watafika wapi!!! Na kwa taarifa yako hata ukifika Hazina utaambiwa tunahitaji uongozi wa chuo uje kutuletea haya malalamiko! Ndugu yangu hii nchi mambo huwa hayaendi kirahisi hivyo!!
 

Kitu ya udini ndugu yangu imepandikizwa na Brother wa magogoni, kabla ya hapo hakukuwepo na hii hali!! Hivi unataka kuniambia pale UDOM hakuna MKristo aliekuw na sifa alieomba kazi finance department!! Haiingii akilini, chuo kingekuwa Zanzibar sawa ila kipo Bara!!
 
mkuu wa shule na timu yake ya uongozi wanachochea udini na ukabila na kupelekea mgogoro mkubwa baina ya wanafunzi hali iliyopelekea baadhi ya wanafunzi kugoma kwa muda wa wiki mbili sasa
 
Kuna vitu vingi sana chini kwa chini UDOM vinaendelea na malalamiko haya yalikuapo muda mrefu sana sio ya kupuuzia na yalianza kwa wanafunzi na sasa yanakuja kwa walimu
 

Kwa hiyo hao waislam wote katika hiyo idara ya finance hawana qualification zinazo takiwa, au amewatoa madrasa??
 
Hii taarifa inanichanganya kidogo! hawa waislam wengi UDOM wanatoka wapi, ilihali tunajua kwamba waislam na hasa
wazanzibari hawajaenda shule kabisa, wao ni ubwabwa na madrasa tuu! nahisi taarifa sio za kweli!!😕
 
Hii taarifa inanichanganya kidogo! hawa waislam wengi UDOM wanatoka wapi, ilihali tunajua kwamba waislam na hasa
wazanzibari hawajaenda shule kabisa, wao ni ubwabwa na madrasa tuu! nahisi taarifa sio za kweli!!😕

Waambie hao wenzako waelewe.wanaposema waislamu wa zanzibar hawakusoma wanajiona wanapatia kumbe ni kelele za mlango nenda UDSM,UDOM,DUCE,SUA,MUM,E.T.C.NENDA KAMA UTAMKOSA MPEMBA.
 

Tukishajua idadi ya Waislamu au Wakristo walio kwenye nafasi mbalimbali inatusaidia nini? Hili suala litatufikisha pabaya. Kwanini tunaanza kuwatazama watu kwa jicho la dini?
 

huyo wa Administration huwa anaajiri sawa ila approval ya mwalimu anayeajiriwa inaanzia kwa DVC academic. please check
 

naunga mkono post yako 200%
 
Ingekuwa na mantiki zaidi kama ungetuwekea na CV zao.
 

Samahan DEC 15 2012 haijafika bado kuhusu kustaafu kwa KIKULA.
2. Acha habari za kidini HURIDHIKI TU? na nafasi nono WALIZOPEWA WATU WA DINI YAKO! Unataka MKABE HADI PENALT ACHA HIZO.Timiza wajibu wako.
 
kuna vitu vingi sana chini kwa chini udom vinaendelea na malalamiko haya yalikuapo muda mrefu sana sio ya kupuuzia na yalianza kwa wanafunzi na sasa yanakuja kwa walimu

waache kazi ili wasionewe!
 

Kawaida ya watu wanaoshindwa kwa hoja katika uongozi...Hawawezi jitathmini ni kwakiasi gani wameshindwa wanatafuta pa kuegemea kuficha madhaifu yao....Ndiyo maana viongozi wengine wanaamua kutumia nguvu....So sad. Lakini pia wakulaumiwa ni hao ambao wanakubali kugawanywa na kushindwa kuona ni jinsi gani wote wanaweza poteza maendeleo yao..Si hivyo tu bali viongozi wanaoongaza hivyo vikundi wanashindwa kuwa smart kuendelea kuwashawishi watu wao wawe wamoja. Ina reflect pia madhaifu ya hao viongozi pengine wao wenyewe wameshindwa kukonga nyoyo za wanaowaongoza katika kuonyesha uwezo wao wakuwaletea mabadiliko kundi wanaloongoza....
 
it is better to stop this discussiont about udin but reality is there and soon kitaeleweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…