ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,681
- Thread starter
-
- #61
Wengine biashara zao zote zinategemea simu, wakizima simu hiyo hasra watakayopata ni zaidi ya kulipa hivyo vikodi vya shilling 1000 kwa miaka 20 ijayo.
Huyu Mzee Mwanakijiji haitakii mema nchi hii. Nchi ilimshinda kwa uvivu wake akakimbilia USA anakula pesa za ulemavu asiokuwa nao.
Kweli aliyetuloga watanzania kweli ameshakufa. maana huu upuuzi wa serikali dhaifu kuwakanda miza wananchi wake na kujinufaisha matumbo yao huku sisi vijana mpaka sasa hatujui maisha yanaendaje ila nyie mnaoishabikia ccm na huu ujinga inawezekana ni baba zenu au ndugu zenu mnataka tu kutukandamiza sisi endeleeni kujipigia makofi nyie si ndiyo mmefanya nchi hii kuwa na matabaka.
Wengine biashara zao zote zinategemea simu, wakizima simu hiyo hasra watakayopata ni zaidi ya kulipa hivyo vikodi vya shilling 1000 kwa miaka 20 ijayo.
Huyu Mzee Mwanakijiji haitakii mema nchi hii. Nchi ilimshinda kwa uvivu wake akakimbilia USA anakula pesa za ulemavu asiokuwa nao.
Kwa sababu mgomo umeshafeli, wewe ukizima simu unakuwa kama mtu aliyeishiwa betri tu...
mzee mwanakijiji yuko u.s anapiga cm eti anahamasisha mgomo tz huyu mzee ni janga la nchi yetu aje agomee hata tz.
Shauri yako utakosa "kideti" chako bure, wenzako wote hewani kama kawa.
Wananchi wameshtuka!!!
Hongera sana, ona hii sms nimetumiwa kutoka kijijini: 'Bado kidogo tu; itakuwa ukimpigia mtu utakuwa unasikia hivi: SAMAHANI, MTEJA UNAYEMPIGIA ANADAIWA KODI YA LAINI YA MWEZI; TAFADHALI MCHANGIE TUMFUNGULIE LAINIYAKE...Mtajuta mbona, maisha bora kwa kila mtanzania.'
Sasa mtu wa namna hii ukimwambia kesho kuna mgomo lazima atashiriki.
Mi sigomi kabisaa...
Duh buku 7 wamejazana humu
Hebu waambie bhana hapa tunajadili hoja sio watu eti oooh mwanakijiji mwanakijiji; tunataka hoja wala mwanakijiji hajasema msiwasiliane na mashule na videti vyenu visiwepo yeye kasema zima laini kwa zamu leo zima voda tumia zingine kesho airtel tumia zingine. Watu hata uwezo wa kuelewa hawana wanarukiarukia tu maneno kwani hilo pengo wakiambiwa wauza unga walizibe watashindwa si wanajulikanaHivi hizi hoja zako nazo ndizo za kizalendo! Unaipenda nchi au unapenda fedha za nchi unazopewa na wezi walioshika madaraka. Mwanakijiji ni mzalendo anayependa nchi na watu wake. Nyinyi na ccm yenu mnapenda tu fedha za nchi na mnawakamua hata maskini wasiokuwa na uwezo wa kupata elf 1 kwa mwezi huku mkiwasamehe matajiri na makampuni ya madini ili mpate rushwa. Sasa tumechoka na nyinyi makupe wa nchi yetu mnaonenepa na kufura matumbo kwa damu zetu. Huu mgomo wa simu ni kukanyaga tu klach ili kuweka gia ya migomo kamili dhidi ya serikali hii ya wauza unga, wauaji na walipuaji wa wananchi wasiokuwa na hatia kwenye mikutano ya amani ya siasa. Kesho mgomo unaanza na utaendelea.
Mgeni rasmi Dr. Slaa alihudhuria?
Hebu waambie bhana hapa tunajadili hoja sio watu eti oooh mwanakijiji mwanakijiji; tunataka hoja wala mwanakijiji hajasema msiwasiliane na mashule na videti vyenu visiwepo yeye kasema zima laini kwa zamu leo zima voda tumia zingine kesho airtel tumia zingine. Watu hata uwezo wa kuelewa hawana wanarukiarukia tu maneno kwani hilo pengo wakiambiwa wauza unga walizibe watashindwa si wanajulikana
Si unajua tena kazi ya akili ndogo"Amani inaletwa na haki" by juliasi mtatiro leo nkuruma
Je miCCM inatenda haki kwa watu au inasambulia mtu anayewafundisha haki zao raia kama Mzee Mwanakijiji.?
Anaejua biashara yake inategemea simu ataamua nn cha kufanya, acheni kuwasemea watu, kwani mwanakijiji amelazimisha mtu azime simu? Mbona mnapiga debe sana kulikoni?