radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,291
Mgomo wa madereva wa malori waanza barabara ya Mbeya - Tunduma, Mkoani Songwe ambapo mpaka majira ya saa tatu asubuhi hakuna lori lililoonekana barabarani.
Chanzo ni dereva aliyepigwa na askari Mbeya siku 3 zilizopita na kufariki.
Umoja ni nguvu washikilie hapohapo nawapongeza sana.
Chanzo: ITV
Chanzo ni dereva aliyepigwa na askari Mbeya siku 3 zilizopita na kufariki.
Umoja ni nguvu washikilie hapohapo nawapongeza sana.
Chanzo: ITV