Mgomo wa malori waanza jijini Mbeya

Mgomo wa malori waanza jijini Mbeya

Hao Madera hawana chama Chao...
Au hiyo Ni njia iliyotumika ni sahihi ya kupora haki na kutosikilizwa hao madereva...
Jaribu kufikia mmiliki wa bus gar zake zinaenda sehem tofaut alaf asubuhi dereva wa dsm kakubali kuamsha chuma kwenda safari, dereva wa Bukoba nae akaamsha chuma asubuhi ya siku hiyo hiyo dereva wa mbeya anakataa kutoa gari na Jana yake abiria walikatiwa ticket mwsho unajikuta ww peke yako ndo uligoma kwenye kampuni na kusababisha hasara peke yako lazma tajiri akuvue chuma yake na huwez kuwa na nguvu ya kujitetea kwakua hamna ushirikiano
 
Back
Top Bottom