Malori ni ya serikali?
Mbeya sio bangi, ila wanajielewa. Kama CCM ingekuwa na uwezo wa kuwahoji polisi kutokana na udhalimu wanaowafanyia raia wasio na hatia, na kuwachukulia hatua , Basi tusingefika hapa
mleta mada hujaeleza chanzo Cha mgomo ni nn.weka sawa basi@radikaMgomo wa madereva wa malori waanza barabara ya Mbeya - Tunduma, Mkoani Songwe ambapo mpaka majira ya saa tatu asubuhi hakuna lori lililoonekana barabarani.
Umoja ni nguvu washikilie hapohapo nawapongeza sana.
Chanzo itv
Kwani watu wa Mbeya wamekatazwa kuwa na malori? Hamna sehemu nimesema kuwa malori ni ya watu wa Mbeya. Mbeya is a country's gateway.Kwa ujinga wako unadhani hayo maroli niya watu wa mbeya
nimekupata mkuu.Aliuliwa dereva wa lori na polisi wiki iliyopita
impact itakuwa si kwa wao tu,hujui kuwa bidhaa zitaadimika na hii inaweza kuleta shida kwenye bei@ Jane lowassaWakigoma si watakosa hela wenyewe
Duuh noma sana.....
Dar na Dodoma watakufa njaa mapema sana...
Mbona mwishoni amesema pale?Kwan wanagoma ksa nn mnijuze kdg
ccm tena imefanyaje mkuu.Kwani watu wa Mbeya wamekatazwa kuwa na malori? Hamna sehemu nimesema kuwa malori ni ya watu wa Mbeya. Mbeya is a country's gateway.
Ukweli unabaki palepale CCM haiwathamini raia na wala haiwatetei
sio kwamba wanajiamini!!!Mbeya wale jamaa wanajiamnigi sanaaaaa,
sio kwamba wanajielewa,niwatata by nature.simple insue kwao big insue.Mbeya sio bangi, ila wanajielewa. Kama CCM ingekuwa na uwezo wa kuwahoji polisi kutokana na udhalimu wanaowafanyia raia wasio na hatia, na kuwachukulia hatua , Basi tusingefika hapa
Tatizo la mikataba kwa madereva lipo muda mrefu kwa Nini lisitatuliwe... Na serikali kuweka usimamizi ktk Hiyo changamoto...
Mgomo unapimwa kwa kutokea stand tu au hata barabarani na pote yanapopita magari??? Wa wapi weweMbona hiyo siyo stendi ni barabara!
Ila? Mbona sijasikia kwingne kotesio kwamba wanajiamini!!!