Mgomo wa malori waanza jijini Mbeya

Mgomo wa malori waanza jijini Mbeya

msikubali kuachia hata kwa mazungumzo yoyote hadi pale athari za mgomo zitapoonekana.mazafanta kbs hawa manjagu ndo mana mnalogwa na wake zenu watu wanagonga nyambafuuu...ingawa sio wote wana tabia mbovu.
 
Wew wenzako wanafanya qz saiz, ww upo vimbweta kweli😆😆😆 acha upate INC, mana hakuna namna mkuu
.....mkuu af nilikuwa nataka niende mwanjelwa.....sasa bajaji cjui nao wamegoma
 
.....mkuu af nilikuwa nataka niende mwanjelwa.....sasa bajaji cjui nao wamegoma
Hapo mbona c mbali mkuu, chukua pisi kali ikupe kampani, unaweza kufika had nanenane kwa dak kadhaa tu bila kuchoka🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hii nchi inahitajika sana migomo kuweka mambo sawa.

Hii mijamaa ya kile chama ikoshirikiana na vyombo vya dola inatupeleka sana kuliko.

Yote tuyatakayo ufumbuzi wake upo kupitia migomo.

Hongereni madereva kwa kujitambua na kuchukua hatua stahiki. Udhalimu una mwisho.

Ingependeza agenda zenu kuhusisha pia udhalimu wa polisi barabarani ili kutafuta kutafuta maslahi ya pamoja.
 
Hawanaga ushirikiano hao chuma nyingi zipo znamwaga moto barabaran matajiri wameombwa namba za lesen za madereva wao waliogoma maana wanaathiri had uchumi wa mmiliki wamepigwa mkwara wakalegea wenyewe
 
Hapo mbona c mbali mkuu, chukua pisi kali ikupe kampani, unaweza kufika had nanenane kwa dak kadhaa tu bila kuchoka🤣🤣🤣🤣🤣
......hakika mkuu ....nilienda hadi kabwe .na Soweto..,😄😄
 
Hawanaga ushirikiano hao chuma nyingi zipo znamwaga moto barabaran matajiri wameombwa namba za lesen za madereva wao waliogoma maana wanaathiri had uchumi wa mmiliki wamepigwa mkwara wakalegea wenyewe

Hao Madereva hawana chama Chao...
Au hiyo Ni njia iliyotumika ni sahihi ya kupora haki na kutosikilizwa hao madereva...
 
Back
Top Bottom