mshana org
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 2,091
- 620
Kusua sua kwa serikali yenu tukufu ndo kumesababisha yote haya
Kila mtu alipewa za kumtosha kabisa...afu kwa nini awape watu wengine kitu asichotaka kutumia yeye? Zile net unadhani ni salama kwa afya?Si angewaambia kwamba hataki hizo net ili wapewe watu wengine...
Nipo muhimbili,mama mkwe wangu amefariki,aliwekewa mashine ya oxgen usiku baada ya hapo dr hakuja tena,na mama ndo ametutangulia.migomo ina madhara,amefarik saa sita na nusu mchana huu.
Bila kujali maslahi ya upande wowote katika mgogoro huu, naomba mtu anaeunga mkono mgomo huu anijibu swali hili;- wagonjwa, ambao ni haki yao kupata matibabu, na ambao pia sio chanzo cha mgogoro, wana maslahi gani katika mambo yanayoendelea sasa hivi? Istoshe, katika kugoma kwao, ni makosa kusema madaktari wanawakomoa wagonjwa?
nipo pamoja na madaktari 100%. Kwanini keki ya taifa letu wanufaike watu wachache?
Pole sana ndugu!Nipo muhimbili,mama mkwe wangu amefariki,aliwekewa mashine ya oxgen usiku baada ya hapo dr hakuja tena,na mama ndo ametutangulia.migomo ina madhara,amefarik saa sita na nusu mchana huu.
Hawa madakatari wanatakiwa wauliwe, ni magaidi wanaocheza na roho na maumivu ya watu.
Hauwezi kabisa kila siku ukaja na malalamiko mapya ukae uchekewe tu. Nawaomba sana serikali isiwasikilize kabisa na iwape 2 hours wawepo kwenye kazi zao nje ya hapo, wachukuliwe hatua kali sana ikiwepo na kushtakiwa kwa kila kifo kitachotokea wakati wa mgomo, wakasote jela wakijibu kesi za mauaji.
Ni kweli, haiwezekani tamaa za kushibisha matumbo yao zisababishe vifo vya watu wengine.
Kwa jinsi Pinda alivyozungumza kwa busara jana hakika nilitegemea madaktari wangeomba fursa ingine ya kukutana naye tena kuangalia uwezekano wa kutatua vikwazo vilivyojitokeza kuliko kukimbilia kugoma.
TANESCO nao wakituhujumu kwenye umme eti tu kudai haki zao...giza nene
TRA wagome kukusanya kodi eti wanadai haki zao.
TBS wagome kuthibitisha ubora wa vyakula eti wanadai haki zao.