mgomo wa madaktari katika picha

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
8,464
Reaction score
4,832
madaktari wakiwa kwenye kikao endelevu ukumbi wa starlight!!
 
angalau katika hali ya utu watangaze hata kufanya kazi siku moja kwa wiki kushughulikia wagonjwa wa muda mrefu, na pia waendelee kuwahudumia wake zetu.....in all fronts they are right....wanasiasa wetu tanzania hawana adabu.
 
:tongue::tongue: :juggle: :tongue::tongue: WILL U BE CONFORTABLE\?
 
Kazeni kamba wazee mpaka kieleweke,tumechoshwa na serikali legelege.
 
:lol:kwa ni ni matatizo yao hayatatuliki lakini ya wabunge ni kama mafuta na moto
 
Sikujuwa kama wavaa hijab nao wanakuwa madaktari, mie nilifikiri wao ni madrasa tu.
faiza foxy umefurahiii!!!au ni wewe nini.hapo hakuna udini,uchama wala ujinsia.msimamo ni mmoja.
 
Sikujuwa kama wavaa hijab nao wanakuwa madaktari, mie nilifikiri wao ni madrasa tu.

Nyerere mbaya sana, hakutaka kabisa Waislaam wasome.
Hata hawa wachache nadhani wameazimwa Comoro ili kuja kubalance namba pale Muhimbili.
 
[Hongereni madakitari kwa msimamo wenu.Mgomo ndo siku hizi imekuwa ndo Lugha ya Serikali nyingi Hapa Duniani.Msikate tamaa,wananchi japo tunaumia lakini tupo nyuma yenu....Big up Guys.
 
Sikujuwa kama wavaa hijab nao wanakuwa madaktari, mie nilifikiri wao ni madrasa tu.

Unanikumbusha maneno ambayo wazungu wamekuwa wakiyatumiamara kwa mara wanaposema Miafrika ni mijitu ya kucheza ngoma tu!!!!ndani ya Ubongo hakuna kitu mpaka leo hii baadhi yao wanamini hivyo na hata ukiangaliautagunduwa hivyo pasenti kubwa ni Ngoma ,ijapokuwa ukweli unauma wakati mwingine.
 
hapa ni ujumbe wa waziri mkuu ukiongozwa na bi hawa ghasia baada ya kuongea na madaktari.

Mbona wabunge was Dar hawajasema chochote kuhusu hii issue? Au madhara yatokanayo na huu mgomo ni madogo sana ukilinganisha na ile issue ya kupanda kwa nauli za kivuko cha kigamboni? Naanza kuamini sasa kuwa hawa wabunge watu wanafikiria kwa kutumia yale makitu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…