Polisi wametapakaa chuo kikuu cha Ruaha, wanawapiga mabomu ya machozi wanachuo ambao wamejaaa viunga vya chuo wanadai fedha za kujikimu(boom) hii serikali kandamizi cjui 2taitoa lini!
watu wanachukulia boom kama hisani...sio hisani ni haki ya wanafunzi kupata kila muda unapofika sababu ule ni mkataba ulioingiwa wakati watu wanaanza chuo,ni mkopo kama mikopo wanayopewa wabunge na hatujawahi sikia wabunge wakilalamika kuwa wamekosa mkopo......serikali na nyie watetezi wake acheni ujinga wapeni watu haki yao
duuuh vyuo vyotevwanafunzi wanalia boom, hii ni dalili serikali inapata hela kwa kuvizia, no constant availability ya hela...maskini ka nchi kangu kamebarikiwa vyanzo vya hela ila hakajabarikiwa hela.
Jaman mi nipo huku hakuna cha ukawa wala wanasiasa wanaochochea tuna karbu mwez wa Tatu hatujapewa hela za kujkimu ukzngatia tuliwahi kufungua kabla ya u.d so msicomment vtu kwa kutu jaj wakt hamjui shda zetu huku