Mgomo wa chakula CIVE-UDOM leo novemba 29,2015

Deadbody

JF-Expert Member
May 30, 2015
4,276
6,585
Wana bodii


husika na kichwa cha habari hapo juu ,
Leo asubuhi uongozi wa serikali ya wanafunzi udom(UDOSO) college of informatics and visual education(CIVE) imewatangazia wanafunzi wote wa cive kutoenda kula chakula cha cafeteria kutokana na ubovu wa chakula chao ambapo kimepelekea wanafunzi kuumwa tumbo.
uongozi wa udoso umesisitiza kutotumia chakula cha cafeteria mpaka hapo watakapotujulisha.
 
Kwa hyo mnashnda na njaa kisa udoso wamewadanganya msile?wasomi wa udom bana.
 
Hebu jaribu kutoa suluhisho la tatizo hilo maana ke viongozi wanapotuambia kutoenda kula cafteris then tunakula wapi?
Mikate asbh,mchana na usiku
 
Back
Top Bottom