sasa
huyu jamaa wa channel
ten anajitetea eti
anasema hajaripoti yy ni
mwingine.
Thatha huyo aliyeleta
habari huko channel ten
kidogo amsababishie
matatizo mwenzake na
kamera na maiki yake.
Jamaa hapo juu yuko sawa kuwa prospectus huwa na Almanac ndani yake.
kwenye red hapo puuzi sanaMgomo ndio umeanza madai ni mengi sana lakini chanzo kikuu ilikuwa ni baada ya wanafunzi wengi kucheleweshewa na wengine kunyimwa kabisa ID mtihani uaonza leo kwa sababu tu hawajafikisha 70% ya ada, waliojitahidi kufikisha hicho kiwango wengi wao mpaka muda huu hawajapewa hizo ID na huku mtihani ulikuwa uanze leo asubuhi, hizo ID mpya zimeanza kutolewa ghafla katikati ya wiki iliyopita bila utaratibu maalum na kwa usumbufu mkubwa huku wahusika ambao ni management wakiwa wamejaa maneno ya dharau na kejeli, mpaka jana jioni wengi wa wanafunzi wamekuwa wakilia na kuzunguka sana hapa chuoni bila kupewa hizo ID, sasa jiulize hizi ni final examz sijui tunawezaje kujiandaa na examz ndani ya stress kama hizi. Naomba watu wa habari msikurupuke na kuja kutoa taarifa ambazo hamzijui na wala hamna uhakika nazo hasa nyie Clouds.
Mgomo ndio umeanza madai ni mengi sana lakini chanzo kikuu ilikuwa ni baada ya wanafunzi wengi kucheleweshewa na wengine kunyimwa kabisa ID mtihani uaonza leo kwa sababu tu hawajafikisha 70% ya ada, waliojitahidi kufikisha hicho kiwango wengi wao mpaka muda huu hawajapewa hizo ID na huku mtihani ulikuwa uanze leo asubuhi, hizo ID mpya zimeanza kutolewa ghafla katikati ya wiki iliyopita bila utaratibu maalum na kwa usumbufu mkubwa huku wahusika ambao ni management wakiwa wamejaa maneno ya dharau na kejeli, mpaka jana jioni wengi wa wanafunzi wamekuwa wakilia na kuzunguka sana hapa chuoni bila kupewa hizo ID, sasa jiulize hizi ni final examz sijui tunawezaje kujiandaa na examz ndani ya stress kama hizi. Naomba watu wa habari msikurupuke na kuja kutoa taarifa ambazo hamzijui na wala hamna uhakika nazo hasa nyie Clouds.
Nasikia Mkuu wa Chuo amekubaliana na matakwa ya wanafunzi kuwa watasogeza mitihani mbele ili waweze kumalizia kutoa vitambulicho vya mitihani kwa nafasi na mambo mengine je ni kweli management imesalimu amri!!!!!!!!!
Hapana Greek unakosea, Prospectus huwa haina Almanac ndani yake, siju labda Prospectus ya IFM! Prospectus kawaida huwa inaelezea mission na vision ya chuo husika na wakati mwingine huelekeza jinsi ya kufika na kuishi chuoni, lakini muhimu ni kuw2a prospectus huwa inaelezea details za course zinazotolewa na chuo husika, wakati kwa upande mwingine Almanac huelezea Tarehe na matukio ya chuo kwa mwaka wa masomo! mfano huelezea,lini mitihani itafanyika, lini chuo kitafungwa na kufunguliwa, lini graduation na vitu kama hivyo!. Anyway hii si hoja sana nilikuwa natoa tu mchangao wangu juu ya uelewa wangu kuhusu Prospectus na Almanac, hoja hapa ni kusema BRAVO IFM!

mkuu,kwa ili si kusalimu amri! Uyu prof.yani mkuu wa chuo mpya ana wisdom kubwa sana,you can't imagine. Mi namkubali prof. Rector wa ifm,na mpaka leo kaipeleka ifm next leo. If true hongera profesa kwa hekima yako. Admissions,toeni ID basi, msilete ugumu wakati na mitihani ya ifm kama zege,mtawakondesha bure wadogo zetu!
mwandishi wa
habari wa CHANNEL TEN
ANAFUKUZWA BAADA
kurusha habari ya
UONGO KWENYE T.V yao.
Leo ndio najua kumbe
vyombo vya habari bongo
ni waongo sijui nini halafu
hapa IFM kuna wa ITV na
TBC je watairusha hii?