Watu wamejaa hapa freedom square. mgomo unarindima
Watu wamejaa hapa freedom square. mgomo unarindima
Mgomo ndio umeanza madai ni mengi sana lakini chanzo kikuu ilikuwa ni baada ya wanafunzi wengi kucheleweshewa na wengine kunyimwa kabisa ID mtihani uaonza leo kwa sababu tu hawajafikisha 70% ya ada, waliojitahidi kufikisha hicho kiwango wengi wao mpaka muda huu hawajapewa hizo ID na huku mtihani ulikuwa uanze leo asubuhi, hizo ID mpya zimeanza kutolewa ghafla katikati ya wiki iliyopita bila utaratibu maalum na kwa usumbufu mkubwa huku wahusika ambao ni management wakiwa wamejaa maneno ya dharau na kejeli, mpaka jana jioni wengi wa wanafunzi wamekuwa wakilia na kuzunguka sana hapa chuoni bila kupewa hizo ID, sasa jiulize hizi ni final examz sijui tunawezaje kujiandaa na examz ndani ya stress kama hizi. Naomba watu wa habari msikurupuke na kuja kutoa taarifa ambazo hamzijui na wala hamna uhakika nazo hasa nyie Clouds.
Mgomo ndio umeanza madai ni mengi sana lakini chanzo kikuu ilikuwa ni baada ya wanafunzi wengi kucheleweshewa na wengine kunyimwa kabisa ID mtihani uaonza leo kwa sababu tu hawajafikisha 70% ya ada, waliojitahidi kufikisha hicho kiwango wengi wao mpaka muda huu hawajapewa hizo ID na huku mtihani ulikuwa uanze leo asubuhi, hizo ID mpya zimeanza kutolewa ghafla katikati ya wiki iliyopita bila utaratibu maalum na kwa usumbufu mkubwa huku wahusika ambao ni management wakiwa wamejaa maneno ya dharau na kejeli, mpaka jana jioni wengi wa wanafunzi wamekuwa wakilia na kuzunguka sana hapa chuoni bila kupewa hizo ID, sasa jiulize hizi ni final examz sijui tunawezaje kujiandaa na examz ndani ya stress kama hizi. Naomba watu wa habari msikurupuke na kuja kutoa taarifa ambazo hamzijui na wala hamna uhakika nazo hasa nyie Clouds.[/QUOTE]
Hapo kwenye red,hao watu wanamatatizo sana yani ni wambea kama majike hasa kibonde na pj,dawa yenu ipo jikoni ipo siku tutawaibukia hapo hapo mlipo......hii redio sijui ni ya sisiem wanaongea pumba sana hawa jamaaaa.
according 2 prospectus leo 28th ndio tarehe ya mwisho ya kulipa hiyo 2nd installment ambayo ni 70% which means bado ninao muda sasa kwanini wanipe stress kwa kuninyima ID wakati deadline haijaisha?
Prospectus pia huwa na tarehe za matukio na deadlines pia. Sidhani kama kakoseaulikusudia kusema Almanac mkuu?
....hivi vyuo vya Tanzania navyo vimezidi! hawa watawala wanataka kuperekesha wanafunzi kama watu wasiojua haki zao!
ebwana mpaka kieleweke hapo! kwanza wanawapa stress wakati mlitakiwa kuwa na peace of mind ready for exams!