Mgomo mkubwa wanukia nchini

Mbona hizo pesa mimi hapa kwangu sijaziona au mwenzangu ambaye ni mwalimu ameamua kula pesa kimyakimya maana anaidai serikali zaidi ya mil.2.4 tangu mwaka 2011
 
Mbona hizo pesa mimi hapa kwangu sijaziona au mwenzangu ambaye ni mwalimu ameamua kula pesa kimyakimya maana anaidai serikali zaidi ya mil.2.4 tangu mwaka 2011

mkuu usishangae sana. kuna watumishi wanaidai serikali malimbikizo ya madai yao tangu mwaka 1980 hawajalipwa sembuse wewe wa mwaka 2011. kuna mwalimu mmoja alikuwa akidai malimbikizo ya tsh milioni 500 lakini serikali sikivu ya CCM ikamchakachua (kwa kumfichia baadhi ya nyaraka) na kuishia kumlipa tsh milioni 50 tu!
 
ndo mi nasemaje democrasia ni sio kitu kizur kama tunavyafikiria, sasa unamkuta mfanya kazi kama huyu, kwa hali ya kawaida unatakiwa umumzishe kwa amani tu, hakuna namna nyingne ya kudeal naye
 
Hao walimu waliolipwa ni wa wapi...? Mbona mimi sijalipwa??
 
jibu hoja...acha kupaniki.

NCHI HII INA WATUMISHI WANGAPI, MBALI NA WALIMU, WANAOIDAI SERIKALI YA CHAMA CHENU MALIMBIKIZO YA MABILIONI YA MADAI?
Mimi na wewe na nani anapaniki? Nchi ina utaratibu wake siyo fikra zako.
 

Mkuu inauma sana, cha msingi hapa nikulipa madai yote bila ubaguzi, wakienda kinyume itakula kwao tu!
 
Wakigoma fukuza kazi ajiri wengine kuna watu kibao hawana kazi tena waondoke kabisa hatuwezi kufanya kazi na mbayuwayu
 
Mimi na wewe na nani anapaniki? Nchi ina utaratibu wake siyo fikra zako.

utaratibu gani? utaratibu wa kuwakusanya walimu na "kuwalipa" kipindi cha uchaguzi? kwanini madaktari na manesi hawajalipwa madai yao wala kuongezwa mishahara kama mlivyokubaliana kabla ya kujaribu kumuua dr ulimboka? hebu tuambie utaratibu huo ukoje.
 
Wakigoma fukuza kazi ajiri wengine kuna watu kibao hawana kazi tena waondoke kabisa hatuwezi kufanya kazi na mbayuwayu

mkuu una umri gani? unasoma darasa la ngapi? mnafungua lini shule?

naomba unijibu maswali hayo kabla sijajibu hoja yako...isije ikawa najibizana na msukule.
 
CCM Hawawezi kupona mwaka huu
 
Mimi nawaogopa sana waalimu maana ni vigeu geu. Wengi wao ni wanawake na hao ndio wamekuwa wakiipa kura CCM. Bahati mbaya wengi wao ni single hawajui upande wa pili zaidi ya uhawara.Sorry but it is true and only truth.
 

kama wamekuambia wambie wasigome magufuli atalimaliza hilo tatizo
 
 
walimu hawawezi kulipwa hzo pesa kwakua ccm kipaumbele chake ni wasanii hao waalim waendelee kufunga mkanda
 
Hv ni walimu gani wamelipwa?Tangazo limetoka kwamba wataanza kulipa malimbikizo ya wafanyakazi kuanzia October na kukamilishwa November.Fahamu kuwa haki za watumishi zıko palepale,ashnde Lowasa au Magufuri ama hata aendelee Kikwete.Na hawa hawalipwi na mtu binafsi kwa hela zake bali kodi za Watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…