Hapa Slaa kaingiza ujinga gani tena?Mama achana na ujinga wa Mzee Slaa, kubali yaishe jaribu tena baadaye maana kura ulizoziomba hazipatikani kwa wakatii huu.
Mgombea wa chadema amegomea matokeo ya awali ya kura 5000 anazoongoz nazo akidai ccma imechakachua kura.
Mpaka sasa kagoma kuriport halmashauri kusaini matokeo ili yatangazwe rasmi.
Ametaja baadhi ya sababu
1. Wapiga kura kutishwa
2. Wapiga kura feki
3. Vitisho jeshi la polisi
sbb zake ni za msngi asikubali kusign...ili dunia ijue kwamba uchaguz w ktz huwa c w amani marazote.ccm wanatumia dola
sbb zake ni za msngi asikubali kusign...ili dunia ijue kwamba uchaguz w ktz huwa c w amani marazote.ccm wanatumia dola
Kubali yaishe tofauti hy kubwa sana hv ungeshinda ungesema kuna wapiga kura feki au ndo indirect speech unajisema