Mgombea wa chadema agomea matokeo kalenga , agoma kusaini kukubali matokeo

Status
Not open for further replies.
sbb zake ni za msngi asikubali kusign...ili dunia ijue kwamba uchaguz w ktz huwa c w amani marazote.ccm wanatumia dola
 
Mama achana na ujinga wa Mzee Slaa, kubali yaishe jaribu tena baadaye maana kura ulizoziomba hazipatikani kwa wakatii huu.
Hapa Slaa kaingiza ujinga gani tena?
Ikitokea tukiamka na kusikia Slaa ni marehemu naamini kuna watu watashangilia mno ila watakapofika kwa Hakimu mkuu na kuulizwa "Hivi Slaa alikufanyia kitu gani kibaya?" watagwaya.
Kilichompata mgombea wa CDM ni jambo la kawaida kwani mambo yamwekwenda kinyume na mategemeo but with time litapita,si jambo la ajabu katika maisha ya binadamu!!!!!!!!!!!
 
Mgombea wa chadema amegomea matokeo ya awali ya kura 5000 anazoongoz nazo akidai ccma imechakachua kura.
Mpaka sasa kagoma kuriport halmashauri kusaini matokeo ili yatangazwe rasmi.
Ametaja baadhi ya sababu

1. Wapiga kura kutishwa
2. Wapiga kura feki
3. Vitisho jeshi la polisi

Kwani, wale makamanda kutoka Arusha waliokwenda kulinda kura hawakuwepo? Si awadai hela zake alizowalipa, inaonyesha hawakufanya kazi waliotumwa.
 
sbb zake ni za msngi asikubali kusign...ili dunia ijue kwamba uchaguz w ktz huwa c w amani marazote.ccm wanatumia dola

ndo maana mnapigwa kila siku! Kuandika huwezi kabisa halafu utakuwa mjumbe wa cc ya chadema wewe!
 
Kubali yaishe tofauti hy kubwa sana hv ungeshinda ungesema kuna wapiga kura feki au ndo indirect speech unajisema
 
Akina Mawazo walivyokuwa wanajisifu jana, mpaka kufikia hatua ya kujiita wanajeshi, eti wana kikosi cha Angani na Ardhini. Teh teh teh! Hutaamini ndio wamepata kura 5000.


MSALANI
Wanafikir SIASA ni blah blah.
 
Last edited by a moderator:
Yeye aendelee kugoma tu kwani kashiri peke yake? Watasign wengine. Hata slaa aligoma kusign je kikwete sio rais? Kwa kura hizo anagoma nini sasa
 
Mgombea wa chadema amegomea matokeo ya awali ya kura 5000 anazoongoz nazo akidai ccma imechakachua kura.
Mpaka sasa kagoma kuriport halmashauri kusaini matokeo ili yatangazwe rasmi.
Ametaja baadhi ya sababu

1. Wapiga kura kutishwa
2. Wapiga kura feki
3. Vitisho jeshi la polisi

Chadema haikuwa na wasimamizi vituoni?
 
kudadadek! chadema ni mdudu gani katika siasa za Tanzania! mwisho wa ubaya ni aibu tu. chezea Zitto enh! mnasubiriwa Chalinze mkatandikwe tena.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom