morenja
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 4,519
- 1,851
Hatimaye wasomi mbalimbali wameziji kujitokeza wakiwa na mashaka na uwezo wa elimu ya mgombea urais kupitia Ukawa kutokana na namna asivyoweza kujenga hoja, kutokuwa na kumbukumbu ya kile anachozungumza na kuna wakati akiulizwa alichozungumza amekuwa hana kumbukumbuku kabisa. Hali hiyo imezidi kutia mashaka wasomi wengi na vijana mbalimbali ambao wamekuwa wakifatilia mchakato mzima wa kampeni. Hi ni hatari kwa taifa kupata rais ambaye hana kumbukumbu.
Aidha wamezidi kutilia shaka juu ya elimu aliyopata chuo kikuu, au ndo wale waliokuwa wakigoma kila kukicha pasipo kutilia mkazo masomo zaidi. Katika hili kuna tatizo ni vema tukaweka kando itikadi na kutanguliza mbele maslahi mapana ya Taifa.
Ilipo tiwa mimba yako baba yako alikuwa na mashaka .sembuse Leo ni mtoto wake wakutumainiwa ingawa kwa kubaki ccm mpaka muda huu.ameanza kurudisha mashaka juu yako..jina naifadhi kwa sasa .ukiendelea nitalitaja .