Entim
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 4,024
- 2,271
Mgombea hawezi kujenga hoja atatuwakilisha vipi nchi za nje, acheni ushabiki.
Na yule asiyejua Kingereza inabidi asafiri na mkalimani, eti enhee??
Mgombea hawezi kujenga hoja atatuwakilisha vipi nchi za nje, acheni ushabiki.
Magufuli amesoma elimu anayo sio msanii na hajasomea sanaa hvyo tunaimani nae juu ya elimu yetu ataiboresha vizuri sina mascara nae
Sadam hussein alikuwa raisi wa wapi.?
Sadamu wa libya sorry kuwait hii ndio phd ya kununua