Jigsaw
JF-Expert Member
- Jun 17, 2011
- 1,823
- 684
Mgombea hawezi kujenga hoja atatuwakilisha vipi nchi za nje, acheni ushabiki.
Kumbe unacho hitaji ni kuwa kilishwa nchi za nje. Akili zako na za hao wasomi unao wazungumzia hapa ni mbovu kuliko hata za Magufuli mwenyewe. Unachowaza ni nje ya nchi tu. Ulistahili kuishi kwa Mugabe ili unyooshwe akili. Kamuulize Kikwete kama akiendaga kuomba msaada nje ya nchi anazungumza kutoka kichwani mwake au anakuwa kaandaliwa chakuzungumza.