Mgombea urais anapokiri hajui siasa!

Mgombea urais anapokiri hajui siasa!

kwanini mnaache kuchangia hoja na kutoa point za ushawishi tukawaelewa, badala yake mnakimbilia kusema vita,amani vita Amani. Inakuwa kama vya upinzani ni kama rebels hawapo kisheria. Mlio kwenda shule jamani jaribuni kuelimisha wengine badala ya kuendekeza maneno ya wanasiasa njaa, ambao wanasema kuchagua upinzani wataleta vita. Siyo kweli. Chama tawala kina vyombo vyote vya ulinzi na usalama. Kama ni kuvunja Amani na kuanza vita basi ni yule aliye na vyombo ndiye atasababisha haya. Natuelimishe watu umhimu wa vyama vingi kwa manufaa ya taifa. vitisho vya kuvunjika Amani viachwe na vyombo vya dola vifanye kazi yake

Kubali ufungue macho na uone hao unao wa support. Hadi ufumbuliwe wewe huwezi kuona hata kila mara wananani pembeni. "Open your eyes ", "spalancantism ", fungua macho. Efata. Wengine hadi waambiwe hapo pabaya huwezi kuona mwenyewe bwana! !. Haya homework hiyo.
 
Unaongea hivyo ilikupoteza tageti,safari hii lazima tuwabomoe!manake hakuna namna nyingine.

Sasa "ukibomoa" si itakuwa Syria ndugu. Au Kobane wenye udini!!. Huko pabaya.
 
Kwa upuuzi wako wewe unaamini siasa ni uwezo wa kujieleza majukwaani tu nasi utendaji,kwa taarifa yako siasa za kuongea sana majukwaani ndizo zilizolifikisha taifa letu hapa lilipo!
 
Kwa upuuzi wako wewe unaamini siasa ni uwezo wa kujieleza majukwaani tu nasi utendaji,kwa taarifa yako siasa za kuongea sana majukwaani ndizo zilizolifikisha taifa letu hapa lilipo!

Kwa hiyo tunahitaji mabadiliko tuwatoe waongeaji na kuwaweka waongeaji watendaji, eti?
 
Kwa upuuzi wako wewe unaamini siasa ni uwezo wa kujieleza majukwaani tu nasi utendaji,kwa taarifa yako siasa za kuongea sana majukwaani ndizo zilizolifikisha taifa letu hapa lilipo!

Tengua Kauli Yako Mkuu! Ni Mgombea Gani Anayeongea Sana Jukwaan?Na Hua Anaongea Kipya? Mtaje.
 
kwanini mnaache kuchangia hoja na kutoa point za ushawishi tukawaelewa, badala yake mnakimbilia kusema vita,amani vita Amani. Inakuwa kama vya upinzani ni kama rebels hawapo kisheria. Mlio kwenda shule jamani jaribuni kuelimisha wengine badala ya kuendekeza maneno ya wanasiasa njaa, ambao wanasema kuchagua upinzani wataleta vita. Siyo kweli. Chama tawala kina vyombo vyote vya ulinzi na usalama. Kama ni kuvunja Amani na kuanza vita basi ni yule aliye na vyombo ndiye atasababisha haya. Natuelimishe watu umhimu wa vyama vingi kwa manufaa ya taifa. vitisho vya kuvunjika Amani viachwe na vyombo vya dola vifanye kazi yake
Walitugawa kwa udini,ukabila na sasa vitisho vya Libya,Ila ni kawaida kwa jahazi linapozama kujitahidi kujinusuru hata kwa kushika kijiko ukiamini kitakuokoa
 
magufuli kwake kazi tu siasa na uongo wafanye mafisadi kama Lowasa na wahuni wenzake.

Nyie na hayo maneno yenu, ndiyo mnao changia kura zipungue kwa mgombea wenu!
 
Akishapita anayejua siasa lowassa nashauri serikali yake isimuache magufuli kuwa waziri wa ujenzi maana hiyo ndio kazi anayoiweza.

Arudishwe kufanya nini?
Anatakiwa kwenda jela kwa kulitia hasara taifa.
 
Nilishasema na leo narudia tena..! Hatuwezi kuchagua Rais wa nchi ambae diplomasia ya nje anajuana na odinga tu..!#twendenalowassa
 
siasa ndio zilipofikisha taifa hapa sasa tunahitaji mtendaji na muadilifu na si mwingine bali ni DR. JOHN POMBE MAGHUFULI
 
Hii kauli aliitoa mgombea urais Mhe. J.P Magufuli kwamba yeye hajui siasa. Binafsi nimetafakari sana... Pia hata urais HAWEZI. Siasa safi na yenye kuzingatia makundi mbalimbali ni chachu ya maendeleo nchini. Ila huyu jamaa hajui siasa...Sijui alikuwa ana maanisha mini.

Kwa ufupi. Magufuli hawezi kuwa Rais na endapo watz tutanogewa na Sera tamu za ccm ambazo hatujaanza kuzisikia Leo....Taifa hili litalia machozi ya damu. Sasa basis...sote tuseme CCM itupishe. Ikumbukwe kuna misaada mingi ambayo imezuiwa kwasababu hatuaminiki tena.
 
ndio maana ni dictator atauwa watu wengi akiingia madarakani kwa maamuzi yake ya kukurupuka
 
Hii kauli aliitoa mgombea urais Mhe. J.P Magufuli kwamba yeye hajui siasa. Binafsi nimetafakari sana... Pia hata urais HAWEZI. Siasa safi na yenye kuzingatia makundi mbalimbali ni chachu ya maendeleo nchini. Ila huyu jamaa hajui siasa...Sijui alikuwa ana maanisha mini.

Kwa ufupi. Magufuli hawezi kuwa Rais na endapo watz tutanogewa na Sera tamu za ccm ambazo hatujaanza kuzisikia Leo....Taifa hili litalia machozi ya damu. Sasa basis...sote tuseme CCM itupishe. Ikumbukwe kuna misaada mingi ambayo imezuiwa kwasababu hatuaminiki tena.

Yeye mtu wa kazi tu....and Tanzania need a doer not a talker or professional politician.Professional politicians can not be trusted na ndio wametufikisha hapa,tunataka mtu wa kazi wa aina ya Magufuli,tunamtaka kutokana na records zake alimopita..we need a transformer..anaeweza kubadili mambo kama hivi

11986315_414862235369896_4337596201002630669_n.jpg

BARABARA YA CHUNYA - MBEYA ILIVYOKUA MIAKA 10 ILIYOPITA
11951415_414862248703228_7854739669154543865_o.jpg

BARABARA YA CHUNYA-MBEYA ILIVYO SASA BAADA YA KUJENGWA KWA KIWANGO CHA LAMI .
 
Magufuli ni mtu wa kupokea maagizo na kifanya sio presidential material hafai
 
Sijui kama ccm watampa uenyekiti wa chama mtu ambaye hajui siasa
 
Back
Top Bottom