- Thread starter
- #41
Mbona watu mnalalamika eti siasa ndo imetufikisha hali hii sasa tunataka mtendaji,sasa siwaelewi tulipo ni kubaya au kuzuri hadi mlalamike hamtaki mwanasiasa zaidi ya mtendaji.
Kama tulipo ni kubaya basi ccm haitufai kwa kuwa ilipewa dhamana miaka 50 na kama ni kuzuri basi magufuri hatufai kwakuwa kakili si mwanasiasa tumchague mwanasiasa