Mgombea urais akibubujikwa machozi

Mgombea urais akibubujikwa machozi

hata hayati baba wa taifa mwalimu julius kambarage nyerere alilia sana tena wazi wazi wakati anaaga mwili wa aliyekuwa waziri mkuu wa tanzania hayati sokoine.
Ni wachache sana watakuwa wameielewa hiyo kauli yako.
 
View attachment 300114
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi CCM, Dkt Magufuli alishindwa kujizuia kutoa machozi ya huzuni wakati wa kuaga mwili wa marehemu katika hospitali ya jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam Oktoba 17, 2015.

Akilia wakati akiaga mwili wa marehemu lugalo:what: hivi nyie mmemuelewa huyu mtoa post:what:
 
Back
Top Bottom