Mgombea urais akibubujikwa machozi

Mgombea urais akibubujikwa machozi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
_MG_6689.jpg
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi CCM, Dkt Magufuli alishindwa kujizuia kutoa machozi ya huzuni wakati wa kuaga mwili wa marehemu katika hospitali ya jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam Oktoba 17, 2015.
 
View attachment 300114

hata hayati baba wa taifa mwalimu julius kambarage nyerere alilia sana tena wazi wazi wakati anaaga mwili wa aliyekuwa waziri mkuu wa tanzania hayati sokoine.
 
Jumapili ijayo ndo mwisho wa usanii wa chama cha majambazi
 
Kuna mwana ccm anayejua kulia km mtoto wa mkulima?
ona alivyowadanganya na kuwapotosha watz kuhusu escrwo
ona alivyowadanganya waislamu kuhusu mahakama ya kadhi
 
Tatizo kubwa hapa ni kuwa, hata tukio la majonzi la kibinadam watu wanalifanyia utani...

Naamini kila mtu anajua uchungu wa kumpoteza mpendwa wake au rafiki yake wa karibu
Tuacheni utani katika mambo ya msingi...ni kama kujilaani wenyewe halafu mwisho wake tunasingizia wengine!!!
 
mnafki hana lolote anakuektia tu! yuko hapo kikampeni zaidi ndio maana kavaa blauzi ya fisiem
 
We naninhii ....unasikia?Ikifikia ile segment ya mahubiri unifotoe foto,ntaanza kujiliza.😀😀:thumbdown::thumbdown:
 
Atalia sana baada ya siku sita zijazo, Tena atalia na kusaga meno!...
 
Tatizo kubwa hapa ni kuwa, hata tukio la majonzi la kibinadam watu wanalifanyia utani...

Naamini kila mtu anajua uchungu wa kumpoteza mpendwa wake au rafiki yake wa karibu
Tuacheni utani katika mambo ya msingi...ni kama kujilaani wenyewe halafu mwisho wake tunasingizia wengine!!!

ni kweli kabisa mkuu, halafu mazingira ya kifo chenyew lazma yatakutoa machozi ukivuta picha jins walivyokuwa wanahangaika wakat chopa imeshika moto na mpaka nafsi inakuja kukubali matokeo na kutulia huku akiteketea kama binadam machoz lazma yakutoke.

Mbumbumbu ukishamkalilisha jambo yeye mda wote jibu lake ni lile alilokalilishwa lakn hawez kutofautisha namna swali lilivyoulizwa ni sawa na hao wanao kejeli
 
AKilia kunasaidia nini? kama yeye na ccm wangeboresha uchumi wa watanzania asingepanda chopa ambayo haina ubora, familia na watanzania inatakiwa wailaumu ccm. kama sio uongozi wao mbovu huenda ajali hii isingetokea. mtoto wa mkulima alilia lakini alibino bado wanauwawa, hii ni kuwadanganya watz, baba unalia watoto wanaangamia badala ya kupambana ili kuokoa familia, machozi ya mamba.
 
Back
Top Bottom