SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,110
- 75,567
Nani aliyekuambia kuwa huyo anayechezea simu ni mwanamke?
MNA utani mbaya nyie!
Nani aliyekuambia kuwa huyo anayechezea simu ni mwanamke?
ni kweli kabisa mkuu, halafu mazingira ya kifo chenyew lazma yatakutoa machozi ukivuta picha jins walivyokuwa wanahangaika wakat chopa imeshika moto na mpaka nafsi inakuja kukubali matokeo na kutulia huku akiteketea kama binadam machoz lazma yakutoke.
Mbumbumbu ukishamkalilisha jambo yeye mda wote jibu lake ni lile alilokalilishwa lakn hawez kutofautisha namna swali lilivyoulizwa ni sawa na hao wanao kejeli
Nani aliyekuambia kuwa huyo anayechezea simu ni mwanamke?
Mwanamme analia hivyo walati mwanamke anachezea simu
Nadhani watu wanaona unafiki kwa kujifanya kuhuzunika sasa (hasa wana taasisi), wakati swala la ajali halikuwastua wala kulipa uzito wowote; miili ya marehemu ilibebwa kwenye machela za miti zilizotengenezwa kienyeji.
~
~
ana makinda ni mwanamke mwenye moyo mgumu sana,,ameshaona mengi,,,,na huwa hazeeki,mbunge kwa miaka 40,lakini yuko fit vibaya
andika kiswahili tuUsanii tu huyo. Aliwasiliana na Dr. Kigoda alipokuwa ICU. Is it make sense!!!
ametelekeza familia ipi? Kwahyo familia yake anailea mamaako?
Mtu kama ww tayar umeshakariri huna ulijualo
andika kiswahili tu
Ni aibu sana.ananisikitisha mama ana makinda yuko buze na simu
Sawa mkuu ila nasikia kuzaa kunazeesha....labda ndo maana hazeeki
ajali imetokea mbali na barabara,,,mbugani,,,,wapi ingepatikana machela ya haraka haraka ya kubeba miili?,
tena unaambiwa huyo mzungu asingeiona helcopter ikilipuka na kutoa direction,,,hiyo miili ingepatikana baada ya hata mwezi mzima