GE2025 Mgombea Urais ACT, Mpina awekewa mapingamizi ya uteuzi wake na Mwanasheria Mkuu wa Serikali pamoja na Wagombea Urais NRA na AAFP

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Chama cha ACT Wazalendo kimethibitisha kuwa Mgombea wake wa Urais, Luhaga Joelson Mpina, amewekewa mapingamizi matatu ya uteuzi wake na Mwanasheria Mkuu wa Serikali pamoja na wagombea urais wa vyama vya NRA na AAFP

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano ya Umma wa ACT Wazalendo, Shangwe Ayo, mapingamizi hayo yaliwasilishwa usiku wa Septemba 12, 2025 majira ya saa 2:36 katika Ofisi ya Katibu Mkuu wa chama hicho

Taarifa hiyo pia imesema mapingamizi hayo yanadai kuwa Mpina hana sifa za kugombea urais, hajadhaminiwa na chama cha siasa na kwamba hakuteuliwa kwa mujibu wa katiba na kanuni za chama chake. Hata hivyo, amesema hoja hizo hazina msingi wa kisheria na ni “njama za makusudi” zinazoratibiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) na Serikali yake

“Tunafahamu kuwa mapingamizi haya ni hujuma zinazotokana na hofu kubwa waliyonayo CCM dhidi ya mgombea wetu ambaye anakubalika zaidi na wananchi kuliko mgombea wao,” amesema Shangwe.

Ameeleza kuwa chama kimechukua hatua za kisheria kwa kujibu mapingamizi hayo kupitia wanasheria wake, na majibu yatapelekwa ndani ya muda uliopangwa. Aidha, ACT Wazalendo tayari imefungua kesi ya kikatiba Mahakama Kuu kupinga uamuzi wa Msajili wa Vyama uliomnyima utambulisho Mpina kama mgombea halali wa urais. Kesi hiyo imesajiliwa kwa hati ya dharura kwa namba 23438/2025.

Katika Taarifa hiyo, Act Wazalendo pia imetangaza kuwa chama hicho kitapinga uteuzi wa mgombea urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan, kwa madai kuwa hakufuata katiba na kanuni za chama chake katika mchakato wa uteuzi

Pingamizi dhidi ya Mpina limeibuka siku moja baada ya Mahakama Kuu kuamuru Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kupokea fomu zake za uteuzi na kuendelea na mchakato wa kisheria

Chama cha ACT Wazalndo pia kimedai kumuwekea pingamizi mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Samia ikidai uteuzi wake haukufuata kanuni na sheria za chama hicho

Soma pia GE2025 - ACT Wazalendo kumuwekea Pingamizi Mgombea urais CCM Dkt. Samia ikidai uteuzi wake haukufuata Katiba na Kanuni za chama hicho

1757848300038.png

1757848284634.png

Sinema nyingine tena! Bado watamshindisha ionekane mahakama zipo huru!
 
Ngoja CCM waendelee kuwabananga mateke, mkichoka mkae nyumbani na wake zenu ya nini kujitaabisha katika nchi aliyo ikataa bwana...
 
Mpina hana shda tatizo la act ipo kwa hilo joka la makengeza z z kabwe.huyo bwana yupo kimaslahi zaidi na mdini kwelikweli.ni ndumilakuwili mguu act na mwngne ccm.kitu ambacho hujui yy yupo nyuma ya hzo drama.
 
Chama cha ACT Wazalendo kimethibitisha kuwa Mgombea wake wa Urais, Luhaga Joelson Mpina, amewekewa mapingamizi matatu ya uteuzi wake na Mwanasheria Mkuu wa Serikali pamoja na wagombea urais wa vyama vya NRA na AAFP

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano ya Umma wa ACT Wazalendo, Shangwe Ayo, mapingamizi hayo yaliwasilishwa usiku wa Septemba 12, 2025 majira ya saa 2:36 katika Ofisi ya Katibu Mkuu wa chama hicho

Taarifa hiyo pia imesema mapingamizi hayo yanadai kuwa Mpina hana sifa za kugombea urais, hajadhaminiwa na chama cha siasa na kwamba hakuteuliwa kwa mujibu wa katiba na kanuni za chama chake. Hata hivyo, amesema hoja hizo hazina msingi wa kisheria na ni “njama za makusudi” zinazoratibiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) na Serikali yake

“Tunafahamu kuwa mapingamizi haya ni hujuma zinazotokana na hofu kubwa waliyonayo CCM dhidi ya mgombea wetu ambaye anakubalika zaidi na wananchi kuliko mgombea wao,” amesema Shangwe.

Ameeleza kuwa chama kimechukua hatua za kisheria kwa kujibu mapingamizi hayo kupitia wanasheria wake, na majibu yatapelekwa ndani ya muda uliopangwa. Aidha, ACT Wazalendo tayari imefungua kesi ya kikatiba Mahakama Kuu kupinga uamuzi wa Msajili wa Vyama uliomnyima utambulisho Mpina kama mgombea halali wa urais. Kesi hiyo imesajiliwa kwa hati ya dharura kwa namba 23438/2025.

Katika Taarifa hiyo, Act Wazalendo pia imetangaza kuwa chama hicho kitapinga uteuzi wa mgombea urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan, kwa madai kuwa hakufuata katiba na kanuni za chama chake katika mchakato wa uteuzi

Pingamizi dhidi ya Mpina limeibuka siku moja baada ya Mahakama Kuu kuamuru Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kupokea fomu zake za uteuzi na kuendelea na mchakato wa kisheria

Chama cha ACT Wazalndo pia kimedai kumuwekea pingamizi mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Samia ikidai uteuzi wake haukufuata kanuni na sheria za chama hicho

Soma pia GE2025 - ACT Wazalendo kumuwekea Pingamizi Mgombea urais CCM Dkt. Samia ikidai uteuzi wake haukufuata Katiba na Kanuni za chama hicho

Ni mara yangu ya kwanza kuona mwanasheria mkuu wa serikali anamuwekea pingamizi mgombea.

Kama iliwahi kutokea naomba nikumbushwe.
 
CCM na ACT-Wanapenda sana siasa za maigizo.
 
Jana tume ilitangaza kumteua kuwa mgombea wa Uraisi leo mapingamizi yanaonekana.

Kwa ninavyojua kabla ya uteuzi huwa yanaanza mapingamizi kwanza ndio ukishnda au ukiwa haujawekewa basi unateuliwa kuwa mgombea.Ndio maana huwa kuna muda maalumu wakupokea mapingamizi.

Tume imewezaji kumpitisha mtu kuwa mgombea ikiwa wanajua kuna muda wa kupokea mapingamizi.

All in all inaonesha wanamuhofia Mpina ataharibu njia walizopita.
 
Chama cha ACT Wazalendo kimethibitisha kuwa Mgombea wake wa Urais, Luhaga Joelson Mpina, amewekewa mapingamizi matatu ya uteuzi wake na Mwanasheria Mkuu wa Serikali pamoja na wagombea urais wa vyama vya NRA na AAFP.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano ya Umma wa ACT Wazalendo, Shangwe Ayo, mapingamizi hayo yaliwasilishwa usiku wa Septemba 12, 2025 majira ya saa 2:36 katika Ofisi ya Katibu Mkuu wa chama hicho.

Taarifa hiyo pia imesema mapingamizi hayo yanadai kuwa Mpina hana sifa za kugombea urais, hajadhaminiwa na chama cha siasa na kwamba hakuteuliwa kwa mujibu wa katiba na kanuni za chama chake. Hata hivyo, amesema hoja hizo hazina msingi wa kisheria na ni “njama za makusudi” zinazoratibiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) na Serikali yake.

“Tunafahamu kuwa mapingamizi haya ni hujuma zinazotokana na hofu kubwa waliyonayo CCM dhidi ya mgombea wetu ambaye anakubalika zaidi na wananchi kuliko mgombea wao,” amesema Shangwe.

Ameeleza kuwa chama kimechukua hatua za kisheria kwa kujibu mapingamizi hayo kupitia wanasheria wake, na majibu yatapelekwa ndani ya muda uliopangwa. Aidha, ACT Wazalendo tayari imefungua kesi ya kikatiba Mahakama Kuu kupinga uamuzi wa Msajili wa Vyama uliomnyima utambulisho Mpina kama mgombea halali wa urais. Kesi hiyo imesajiliwa kwa hati ya dharura kwa namba 23438/2025.

Katika Taarifa hiyo, Act Wazalendo pia imetangaza kuwa chama hicho kitapinga uteuzi wa mgombea urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan, kwa madai kuwa hakufuata katiba na kanuni za chama chake katika mchakato wa uteuzi.

Pingamizi dhidi ya Mpina limeibuka siku moja baada ya Mahakama Kuu kuamuru Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kupokea fomu zake za uteuzi na kuendelea na mchakato wa kisheria.

USSR
 
Back
Top Bottom