Mgombea Udiwani Daraja Mbili (CHADEMA) akimbizwa KCMC

Ni bw. Msoffe aliyepigwa jana jioni wakati akizuia wamama wasiporwe bidhaa zao. Jana alilala polisi bila dhamana na leo wakampeleka mahakamani ila hakuweza hata kusimama. Akaandikiwa aende Mt Meru Hospital, police wakakataa Mbowe akafanikisha. Pray 4 him

Mkuu si kweli Kamanda yuko poa tu, Nimetoka kuongea naye muda si mrefu
 
Polisi waache kutumia nguvu dhidi ya raia, sheria gani inaruhusu polisi kupiga raia.

Du hii sentensi umeandikiwa au ID yako imeingiliwa. Si tu kwamba wanapiga, bali wanaua. Ni kama vile nchi iko kwenye hali ya hatari. Askari polisi wametangaza hali ya hatari, amri jeshi mkuu yupo tu anaangalia au ndo kutoa baraka zake kimyakimya
 
Tuwekane sawa makamanda. Kuna jamaa anaitwa rama, kwa wakaazi wa hapa arusha wanamjua kwa matangazo, kampuni yake inaitwa raha promotion-mji mzima 'tangazo tangazo tangazo', ndiye alimpiga jioni kabisa jana. Rama naye kaswekwa ndani leo.
 
Nilipewa ban kwa kueleza ukweli kwamba kiburi cha polisi ni kwa sababu amiri jeshi mkuu Dr dr dr dr dr jakaya Kikwete anawatetea polisi kwa vitendo vyao vya kidhalimu furaha yake ni kuona damu ya wanyonge inamwagika niko tayari kwa ban tena modes siku hizi hawataki tuseme ukweli
 
Huu ni upumbavu wa wajinga wachache wenye akili fyongo wanaodhani kuwa ccm ni baba na mama yao.
Ni kweli polisi wanaamrishwa, lkn they should use a bit of sense... au wao ni robots?
Change of regime is inevitable with this this type of stiff-necked-bald-headed nincompoops!
Senzi sana ccm.
Kamanda Msoffe upone haraka urudi kuchukua kiti, maana kinakusubiri.
 
mkuu tuliza boli. Haina haja ya kuwawekea ubabe. Ukiona tawala yoyote inajikita kt vitisho. Ubabe. Mauaji kwa wapinzani jua dalili mbaya kwao kwani ndo kufall uko. Ccm inaanguka na kisha tutaizika

wewe utakuwa mtu wa pili kuniambia maneno hayo kwa mara ya kwanza niliambiwa na babu yangu mwaka dec 2010 maneno haya aliniambia baada ya mimi kutaka maoni yake baada ya uchaguzi wa mwaka 2010..asante kwa kunikumbusha
 
Du hii sentensi umeandikiwa au ID yako imeingiliwa. Si tu kwamba wanapiga, bali wanaua. Ni kama vile nchi iko kwenye hali ya hatari. Askari polisi wametangaza hali ya hatari, amri jeshi mkuu yupo tu anaangalia au ndo kutoa baraka zake kimyakimya

Tumaini, ni kweli Msofe kakimbizwa KCMC? Hali yake ikoje?
 
Yupo wodi namba ngapi gorofa ya ngapi kesho nikamwone asbuhi kamanda wa ukweli
 
Tumaini makene thibitisha hili wodi namba ngapi gorofa ya ngapi nikawakilishe jf
 
Kipindi hiki kuna wizi mkubwa sana arusha unaofanywa a hawa jamaa wanaohamisha watu hovyo,na wanafanya hivyo kwa zile makeshift marketing za usiku ambazo kihalali zilipaswa kuwa kama ubungo usiku au Lumumba weekends.soko jipaya NMC na ujenzi wa barabara za mji unawafanya akina mama wanaovizia watu wanaotoka maofisini wanunue bidhaa zao,pamoja na machinga wanaporwa live na hwa mgambo wakiwa na askari wenye silaha za moto.

hkauna mtu mwenye akili timamua nayepita bila kupaza sauti kwa nguvu kw ahawa mgambo na polisi ambao pia huvunjavunja vitu vya machinga, machinga wenye kutoa rushwa wanaachiwa na polisi.Kwa ujumla ni wizi kwani muda huo manispaa office hazipo wazi na hakuna mtu wa document ili kama hawa jamaa watapigwa fine basi warudishie vitu vyao,tayari machinga wenye vieneo ktk soko jipaya NMC na Kilombero hawana tena mitaji kwani askari wamegawana vitu vyao.Hadi sasa kama hao askari hawatauwawa mitaani kwao basi wanaweza mwagiwa tindikali.
 
Tuwekane sawa makamanda. Kuna jamaa anaitwa rama, kwa wakaazi wa hapa arusha wanamjua kwa matangazo, kampuni yake inaitwa raha promotion-mji mzima 'tangazo tangazo tangazo', ndiye alimpiga jioni kabisa jana. Rama naye kaswekwa ndani leo.

Jamani huyu Rama wa Raha promotion mzee wa tangazo tangazo tangazo ndo kamfua huyo mgombea? Mbona Rama na yeye wa hivohivo tu dawa ni kumkata ulimi tuone atafanya kazi gani nyingine
 
Jamani huyu Rama wa Raha promotion mzee wa tangazo tangazo tangazo ndo kamfua huyo mgombea? Mbona Rama na yeye wa hivohivo tu dawa ni kumkata ulimi tuone atafanya kazi gani nyingine

Ndiye! Wamemkamata naye yuko polisi
 
wewe utakuwa mtu wa pili kuniambia maneno hayo kwa mara ya kwanza niliambiwa na babu yangu mwaka dec 2010 maneno haya aliniambia baada ya mimi kutaka maoni yake baada ya uchaguzi wa mwaka 2010..asante kwa kunikumbusha

THANKS TOO BRAZA. TUPEANE MOYO. INFACT CCM IS FALLING. WAO WAKIAMKA WANAMUWAZA CDM. NA HAKUNA KURUDI NYUMA MPAKA KIELEWEKE. NATUMAI VIONGOZ WETU WATAUMIZWA LKN MWISHO WA YOTE. WE SHALL APPEAR AS A WINNEr
 
inakuwa vigumu kuamini km cinema vile. mbona haki haitendeki hata siku moja? pole sana ndugu Msoffe.
 
Back
Top Bottom