Mgombea Udiwani Daraja Mbili (CHADEMA) akimbizwa KCMC

Rama na tumbotumbo lake kampigaje huyo mgombea? Huyu mchumia tumbo kapiga hela za campaign 2010 akahamisha na ofisi yake na saluni pale uvccm kapeleka kaloleni pia kafungua kahotel hapo Mrina huyu jamaa namjua fika ni mzembemzembe sa cjui kampigaje jamaa au alitumia silaha? Ka vp atangaziwe fatwa uone ka hajahama ngalelooo! LA SiVYO atajisifu sana...

itakuwa walikuwa wengi maana akiwa anatangaza huwa kuna gari la ffu nyuma..
 
Nina castle lager 8 kichwani nashndwa kukomenti nahc ntapata BAN moja haijawahi kutokea... Pole kwa kamanda
Hata mie wakati napata za kusindikizia usingizi nikasikia comment moja kutoka kwenye meza jirani ambayo waliokaa siwafahamu. Kauli ilikuwa eti Hawa manjagu nao wanatakiwa wapotezwe na raia mmoja mmoja ndio watajua uchungu wa kupiga na kuua asiye hatia. Kwa vile Lager zilikuwa zimenikolea sikupata ufumbuzi jee huyo jamaa alichosema ni sahihi au kalewa. Nifahamisheni
 
Haya hujakaa sawa ameuawa kisha tu anagombea udiwani kwa ticket ya CDM. Jamani hii serikali inatupeleka wapi? Damu ya Mwangosi haikuwatosha? Yaani ukiangalia hakuna kinachoenda hapa ila tu uozo!
 
Rama tokea kampeni zianze anazunguka na ile townace yake ya matangazo na Akifuatwa na Canter lililojaa Migambo. Wanapiga machinga na kuwadhalilisha. Wanapora na bidhaa zao.
 
tatizo ritz ana ID mbili ya kuchangia kigamba ambayo ndo hii na nyingine kuchangia kikamanda.tatizo linakuja pale anapojisahau kwamba amelogin kwa id ya kuchangia kigamba.sijui lengo lake nini

Labda kaanza kuona mwanga
 
Ingekuwa kada wa ccm kapigwa mpaka kulazwa na kada wa chadema habari tungeisikia tbc, uhuru, kwa tendwa, habari leo na front page kwenye jambo leo!
 
kwani amepigwa na rama au na polisi kama kapigwa na rama na kudi lake mbona nawafahamu mpaka vunguni..tukalipize tu

Rama& thugs. Mbele ya migambo waliotaka kupora bidhaa za kina mama pale Friends Corner. NO VISASI
 
Propagandisi, ukikua utajaacha ujinga wako wa kushabikia ccm yako inapotapika.
 
Polisi waache kutumia nguvu dhidi ya raia, sheria gani inaruhusu polisi kupiga raia.
Du! Ritz naomba Mungu anisamehe kwasababu nilikuwa nimekuandalia jibu baya kwa kuona avatar yako tu kwenye hii thread baada ya kusoma comment yako nikaumbuka
 
Last edited by a moderator:
Rama& thugs. Mbele ya migambo waliotaka kupora bidhaa za kina mama pale Friends Corner. NO VISASI

kwa hiyo no visasi huku viongozi wetu wanapigwa wanazalilishwa hivyo hivyo kwa wanachama na wapenzi wa chadema tumekalia matamko tu..
 
Polisi waache kutumia nguvu dhidi ya raia, sheria gani inaruhusu polisi kupiga raia.

Wataunda tume na kuja na majibu kuwa Polisi walikuwa wakijihami tu. Tena mabomu yalikuwa mbali kidogo, maana Bwana Msoffe ana Nguvu ya Umma ya kuibwaga CCM katika uchaguzi wa Udiwani. Tena kupigwa kwake watasema alipigwa na wanachadema wenye hasira kali. Aibu kwa Polisi Tanzania
 
Back
Top Bottom