Mgombea ubunge Chalinze kwa tiketi ya CHADEMA awekewa pingamizi

Kabewa

Senior Member
Oct 30, 2009
136
56
TAARIFA YA PINGAMIZI LA MGOMBEA WA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE FABIAN LEONARD SKAUKI – MGOMBEA CHAMA CHA WANANCHI –CUF
DHIDI YA
MATHAYO MANG’UNDA TORONGEY – MGOMBEA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO - CHADEMA
13.03.2014
Mimi FABIAN L. SKAUKI, Mgombea Ubunge wa Uchaguzi mdogo Jimbo la CHALINZE kwa tiketi ya THE CIVIC UNITED FRONT (CUF) ninamwekea Pingamizi mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwamba amepoteza sifa za kuwa mgombea kwa sababu zifuatazo:1. Ndugu MATHAYO M. TORONGEY amejaza taarifa za uongo kwenye fomu yake kwamba kazi anayoifanya ni BIASHARA. Sio kweli, kwa sababu hajaweka vielelezo vya yeye kufanya hiyo kazi. Hajulikani anafanya kazi gani.2. Ndugu MATHAYO M. TORONGEY amejaza katika fomu kwamba anajua kusoma na kuandika Kiswahili na kiingereza. Taarifa hizi ni za uongo, mgombea huyu hajui kusoma wala kuandika Kiswahili wala kiingereza, na kwamba amedanganya na amepoteza sifa za kuwa mgombea.3. Ndugu MATHAYO M. TORONGEY amedanganya kwa kughushi/kufoji sahihi za wadhamini, ambao amewaorodhesha kwenye fomu ya kuomba kuthibitishwa kuwa mgombea. Ambapo katika fomu hizo wadhamini wote sahihi zao zimefojiwa na hazifanani na zile zilizokuwepo kwenye daftari la kudumu la wapiga kura na kwamba sahihi zote hizi zimesainiwa na mtu mmoja ambaye sio muhusika. Hivyo anapoteza sifa ya kuendelea kuwa mgombea.4. Ndugu MATHAYO M. TORONGEY ameshindwa kutimiza mahitaji ya kisheria ya kuwa na wadhamini wasiopungua 25, badala yake amedhaminiwa na wadhamini 28 ambao kati yao wadhamini 7 sio wapiga kura halali wa Jimbo la CHALINZE, na kwamba Taarifa zao na namba zilizojazwa hazifanani.Hivyo anabakiwa na wadhamini halali 21 ambao kisheria hawatoshi kutimiza matakwa ya kisheria.Majina ya wadhamini hao ambao hawakidhi matakwa ya kisheria na namba zao ni:JINA LA MDHAMINI NAMBA YA KADI KURA

1. HABIBU ALLY SAIDI *16886275*
2. MOHAMMED RAMADHANI *30376567*
3. ABDULKADIR ALLY *49264905*
4. SHABANI SULEYMAN *16984045*
5. JUMA MRISHO *48759563*
6. RAJABU ALLY *16872368*
7. MANENO MIRAJI *16872059*Wananchi wenye namba na majina hayo hapo juu waliojazwa kama wadhamini kuanzia namba 1 hadi 7 kwenye fomu yake hawana sifa za kupiga kura kwenye maeneo ambayo wamejazwa wanatokea.Hii ni kutokana na ukweli kwamba idadi halali ya wadhamini wanaobaki ukiwaondoa hao saba watabaki 21, hawakizi vigezo vya kuwa wadhamini.5. Ndugu MATHAYO M. TORONGEY amedanganya uraia wake na kwamba yeye si Mtanzania wa kuzaliwa ndio maana hana vielelezo halali vinavyohusu uraia wake. Hivyo anakosa sifa ya kuwa mgombea.Hivyo ninaomba Tume ya Uchaguzi kutengua uteuzi wa mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ndugu MATHAYO M. TORONGEY kwa kuwa anakosa sifa za yeye kuendelea kuwa mgombea.Wako katika ujenzi wa taifa,
FABIAN LEONARD SKAUKI
……………………………………………………..
MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE.
THE CIVIC UNITED FRONT
+255 786 189 070/+255 754 849 450
 
Hahahaha maajabu ndio maana chadema waliwafukuza wasomi.
Hili swala la chadema kupeleka mgombea chalinze ni kupoteza muda na kutafuta kujilipa posho.

Mkuu Crashwise Mungi ni kweli mgombea wenu a,e,i,o,u hazijui
 
Last edited by a moderator:
Mkuu,
Unajiaibisha sana kwa hii thread! Mgombea wa cdm ni mwanasheria na msomi wa chuo kikuu!
 
Hahahaha maajabu ndio maana chadema waliwafukuza wasomi.
Hili swala la chadema kupeleka mgombea chalinze ni kupoteza muda na kutafuta kujilipa posho.

Mkuu Crashwise Mungi ni kweli mgombea wenu a,e,i,o,u hazijui

Achana na huu udaku mkuu! Utajiaibisha!
 
Last edited by a moderator:
Mapema hivi mmeanza kuiogopa CHADEMA?

Ha ha haaaa taratibu za ndoa ni kusaidiana katika shida na raha...mke kumsaidia mume ni kawaida
 
hata mtoto wa primary asingeweza kukubaliana na ulichokiandika. unatafuta kick huyo....cuf+ccm jibu lake majanga....
 
Mapema hivi mmeanza kuiogopa Chadema?

Ha ha haaaa taratibu za ndoa ni kusaidiana katika shida na raha...mke kumsaidia mume ni kawaida

Umenikumbusha married couple! Kufa na kuzikana! Nakumbuka M/kiti ma Cuf aliongea msikitini akasema "Ninyi mnakumbuka hali ilivyokuwa mbaya, tukalazimika kuokoa jahazi!" . I smell that now!
 
TAARIFA YA PINGAMIZI LA MGOMBEA WA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE FABIAN LEONARD SKAUKI – MGOMBEA CHAMA CHA WANANCHI –CUF
DHIDI YA
MATHAYO MANG’UNDA TORONGEY – MGOMBEA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO - CHADEMA
13.03.2014
Mimi FABIAN L. SKAUKI, Mgombea Ubunge wa Uchaguzi mdogo Jimbo la CHALINZE kwa tiketi ya THE CIVIC UNITED FRONT (CUF) ninamwekea Pingamizi mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwamba amepoteza sifa za kuwa mgombea kwa sababu zifuatazo:1. Ndugu MATHAYO M. TORONGEY amejaza taarifa za uongo kwenye fomu yake kwamba kazi anayoifanya ni BIASHARA. Sio kweli, kwa sababu hajaweka vielelezo vya yeye kufanya hiyo kazi. Hajulikani anafanya kazi gani.2. Ndugu MATHAYO M. TORONGEY amejaza katika fomu kwamba anajua kusoma na kuandika Kiswahili na kiingereza. Taarifa hizi ni za uongo, mgombea huyu hajui kusoma wala kuandika Kiswahili wala kiingereza, na kwamba amedanganya na amepoteza sifa za kuwa mgombea.3. Ndugu MATHAYO M. TORONGEY amedanganya kwa kughushi/kufoji sahihi za wadhamini, ambao amewaorodhesha kwenye fomu ya kuomba kuthibitishwa kuwa mgombea. Ambapo katika fomu hizo wadhamini wote sahihi zao zimefojiwa na hazifanani na zile zilizokuwepo kwenye daftari la kudumu la wapiga kura na kwamba sahihi zote hizi zimesainiwa na mtu mmoja ambaye sio muhusika. Hivyo anapoteza sifa ya kuendelea kuwa mgombea.4. Ndugu MATHAYO M. TORONGEY ameshindwa kutimiza mahitaji ya kisheria ya kuwa na wadhamini wasiopungua 25, badala yake amedhaminiwa na wadhamini 28 ambao kati yao wadhamini 7 sio wapiga kura halali wa Jimbo la CHALINZE, na kwamba Taarifa zao na namba zilizojazwa hazifanani.Hivyo anabakiwa na wadhamini halali 21 ambao kisheria hawatoshi kutimiza matakwa ya kisheria.Majina ya wadhamini hao ambao hawakidhi matakwa ya kisheria na namba zao ni:JINA LA MDHAMINI NAMBA YA KADI KURA

1. HABIBU ALLY SAIDI *16886275*
2. MOHAMMED RAMADHANI *30376567*
3. ABDULKADIR ALLY *49264905*
4. SHABANI SULEYMAN *16984045*
5. JUMA MRISHO *48759563*
6. RAJABU ALLY *16872368*
7. MANENO MIRAJI *16872059*Wananchi wenye namba na majina hayo hapo juu waliojazwa kama wadhamini kuanzia namba 1 hadi 7 kwenye fomu yake hawana sifa za kupiga kura kwenye maeneo ambayo wamejazwa wanatokea.Hii ni kutokana na ukweli kwamba idadi halali ya wadhamini wanaobaki ukiwaondoa hao saba watabaki 21, hawakizi vigezo vya kuwa wadhamini.5. Ndugu MATHAYO M. TORONGEY amedanganya uraia wake na kwamba yeye si Mtanzania wa kuzaliwa ndio maana hana vielelezo halali vinavyohusu uraia wake. Hivyo anakosa sifa ya kuwa mgombea.Hivyo ninaomba Tume ya Uchaguzi kutengua uteuzi wa mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ndugu MATHAYO M. TORONGEY kwa kuwa anakosa sifa za yeye kuendelea kuwa mgombea.Wako katika ujenzi wa taifa,
FABIAN LEONARD SKAUKI
……………………………………………………..
MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE.
THE CIVIC UNITED FRONT
+255 786 189 070/+255 754 849 450
"huu ujauzito utakua wa Tembo"
 
sabab ya 4. Ina mashiko
chadema magumashi mtaacha lini?

Ukiona manyo ujue keshaliwa, Ukisikia Mbwa amelia usiku wa giza ujue keshapigwa. Tulieni tu CUF sindano iingie pole pole. Kwa nini Ugombee wakati tayari Mshirika katika serikali ya Umoja wa Kitaifa keshachukua fomu? Ama umevuta za Makampuni ya PANONE, UDA, STATE OIL? Usiache na za China kwenye yale mambomambo....

Hapo Chopa haijatua, Tulieni tu wapendwa tutafika tu
 
acha kutumia hisia kuandika

u have brain for that

hizi allegations may seem as little as it seems

but in politics everything matters

letteni majibu ya kila allegation

sio kulia lia na maneno matupu

hapo anazungumziwa mgombea ubunge na ana hushishwa na kugushi sahihi na magumashi mengine kumbuka hilo
 
Tunaomba majibu ya mgombea wa chadema mwenyewe,vinginevyo tusubiri majibu ya pingamizi lenyewe,na kama itakua kweli,basi viongozi wa chadema pale makao makuu watakua hawapo makini,
 
Kuolewa bila mahali ni noma sana
 
siasa za bongo ni kama komedi, jamaa hata propaganda hajui...hivi chadema kinaweza mpitisha mtu asie juwa kusoma na kuandika kiswahili? huu ni upumbavu wa wapga propaganda
 
Back
Top Bottom