Nadhani Duni akirudi kwao na viongozi wengine nao itabidi warudi kwao pia. Mbatia, Makaidi. Tuachieni tuitengeneze chadema asilia yetu. Sijui kama zama zile zitarudi tena walahi!
Majimbo aliyoachiwa cuf na nccr chadema wasisogeze pua zao.
MAGUFULI naye kuhamia UKAWA.
Heheheh jana Alikuwa Geita... hilo la kuhama sahaumi kabisa maana atakuwa kapoteza sana
Huwezi kumsikia kwani fisiem ni kwa mwendo wa fiesta na kugawa noti
Kujitoa kwenye chama gani
Usanii wa Lowassa unapovuka mipaka na kwenda Zanzibar.Kutokana na mivutano inayoendelea ndani ya viongozi wa upinzani, taarifa zinasema, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa viongozi wa CUF upande wa Tanzania bara kulalamikia kutotimizwa kwa makubaliano yaliyofikiwa wakati wanaungana katika umoja na kupinga namna CHADEMA wanavyoendesha umoja huo.
Aidha kutokana na hali hiyo, taarifa zinadai kuna uwezekano mkubwa muda wowote kuanzia sasa mgombea mwenza wa CHADEMA Juma Duni kutangaza kujitoa kwenye chama hicho na kurejea CUF.
Hapa tulipo fika hata atoke mbowe,mwendo ni ule ule,wamemtoa slaa,lipumba,kwan duni ndo atakuwa na impact???
Hata akitoka lowasa tutaweka jiwe na litashinda kwa kishindo
Kutokana na mivutano inayoendelea ndani ya viongozi wa upinzani, taarifa zinasema, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa viongozi wa CUF upande wa Tanzania bara kulalamikia kutotimizwa kwa makubaliano yaliyofikiwa wakati wanaungana katika umoja na kupinga namna CHADEMA wanavyoendesha umoja huo.
Aidha kutokana na hali hiyo, taarifa zinadai kuna uwezekano mkubwa muda wowote kuanzia sasa mgombea mwenza wa CHADEMA Juma Duni kutangaza kujitoa kwenye chama hicho na kurejea CUF.
sasa wewe unahisi buku 7 ndogo?wewe baki na kazi yako na sisi tuache na kazi yetu hata kama tunalipwa 200 ndo tumeipenda hiyo sisi sio mabishoo wakuchagua kazi...na nakupa mwaliko uje uwanja wa taifa kushuhudia kuapishwa kwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania Hon.John P Magufuli Itakuwa octoba usiwe na presha tutaleta malori ya kuwabeba Ni Kawaida Yetu Kuwajibika Kwa Wananchi....!!
Utatujua watanzania kuwa tumeacha kuwa misukuleHivi Lowassa Karudisha Ya Ccm?Mama Regina?Sumaye Je?Masha Je?Guninita?Labda Hatujaelewana Ni Hivi Njoo Uwanja Wa Taifa Octoba Kushuhudia Kuapishwa Kwa Rais Wa Awamu Ya 5 Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Hon.John P Magufuli...Tshirt Tutazitoa Siku Hiyohiyo Kwa Bei Cheee...
Lisemwalo lipo, huyu Juma Duni kweli hasikiki kabisa siku hizi tofauti na Mama Samia.
Mtakimbia nchi kabla ya hiyo tareheHivi Lowassa Karudisha Ya Ccm?Mama Regina?Sumaye Je?Masha Je?Guninita?Labda Hatujaelewana Ni Hivi Njoo Uwanja Wa Taifa Octoba Kushuhudia Kuapishwa Kwa Rais Wa Awamu Ya 5 Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Hon.John P Magufuli...Tshirt Tutazitoa Siku Hiyohiyo Kwa Bei Cheee...