Mgombea mwenza kumwangusha Magufuli

Mgombea mwenza kumwangusha Magufuli

Maoni yetu ya katiba yapo wapi?tunawauliza ninyi ccm tuambieni.
 
afadhali hata kile kilichokuwa kikiongoza bunge kuliko huyu maiti.

Duh!Paul huogopi TCRA???Maana hawa wako kwa ajili ya UPANDE wa pili tu,huu mwingine hauguswi hata ukitukanwa na pande ya pili ukienda kushtaki watakwambia tunafanyia kazi,pande ya pili wakienda kushtaki hata kama si kweli ni RUNGU mara moja.Jihadhari hii sheria ipo kwa ajili ya pande yetu.
 
Kuna sababu 3 zitakazopelekea CCM ianguke kwa kuwa na mgombea mwenza mwanamke:

1. Mfumo dume bado una nguvu katika makabila mengi hususani vijijini. Wananchi wengi hawaamini kama wanaweza kuongozwa na rais mwanamke hivyo kumnyima kura.

2. Kushindwa kwa Bi.Anne Makinda katika kulisimamia bunge lililopita ambalo lilitawaliwa na ubabe na kubebwa CCM. Ni katika bunge hili wananchi wameshuhudia sheria mbalimbali za hovyo zikipitishwa kibabe na serikali chini ya ulinzi mkali wa spika Anne.

3. Mgombea mwenza ndiye alikuwa makamu Mwenyekiti wa Bunge la Katiba; chini ya usimamizi wake tulishuhudia kanuni zikivunjwa ili kuichakachua katiba ya wananchi.

Ni katika kipindi hicho tulishuhudia matusi, kejeli, na vitimbi kutoka kwa wajumbe, huku wakitetewa na uongozi wao. Na kutokana na uchakachuaji huo ndipo ukawa ilizaliwa rasmi chini ya mgombea huyu.

Leo hii anaenda kwa wananchi waliotoa maoni ya katiba kutaka achaguliwe urais...ccm na Magufuli mnalo mwaka huu.

sababu nyingine ni hiihapa mkuu:
wanawake twaweza.jpg
 
Wanaukumbi.

Kwa hali ilivyo mgombea mwenza wa ccm Samia Suluhu Hassan anaonekana kukata tamaa kwani wanapata upinzani mzito toka Chadema.

Kuna taarifa kuwa kutokana na ccm kuwa taabani kuna maeneo mengine ameonelea asifike kwa hofu ya kupunguza kura chache watakazopata.

Wanawake wenzake ndani ya chama wamesusa kuongozana naye kwa madai kuwa hawezi kujenga hoja na hana ushawishi.
 
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Kilindi mkoa wa Tanga.
Umati wa wananchi ukiwa umefurika katika mkutano wa kampeni uliofanyika Kibirashi leo katika jimbo la Kilindi mkoa wa Tanga leo.

Huo ndo ubora wa Mama Samia, linganisha na Babu, then utagundua kitu.
 
Mama amekata tamaa, kila anapoenda hukalishwa hotelini siku tatu,madira yashonwe,wapelekewe kina mama wahudhurie.

Magufuli yupo hoi na darasa la saba wake BULEMBO.

CCM IPO TAABANI
 
Nina uhakika asilimia kubwa ya watanzania wameshafanya uamuzi nani wa kumpa kura,hata wale unaowaona kwenye mikutano ya kampeni wameshaamua,wapo kwenye kampeni kimwili tu,lakini ndani ya mioyo yao kuna siri nzito imejikita,ndio maana mgombea wetu akisema nanii hoyeeee unaona watu wapo kimya tu wala hawatikisiki.
 
Wewe unasumbuliwa na stress zakutokua na dreams kwanza nawaonea hata hao wanawake zako wanaoweza kua na mwanaume kama wewe unaeishi kwaajiri ya Lowasa kukuleta mabadiriko. Shame on you.

Acheni mipasho,utakua ccm wewe?
 
kaulize mchakatowa kumpata babu duni sio wa samia.mama samia hana mda wa vijembe wala majungu ww unaweweseka tu.cha zaid katafte pamperz maana nawe ni walewale
 
Lowasa Mabadiriko, Mabadiriko Lowasa ndio habari ya mujini.
Tunasubiri kupata elimu ya bure msingi mpaka chuo kikuu na matibabu bure, nyinyi mnaonufaika na unyonyaji kaeni na liccm lenu na mmeshaanza kuwatoa watu kafara Morogoro mashetani wakubwa kabisa.

Mwenyewe yule mwenye Parkinson disease alisema elimu bure toka vidudu mpaka chuo ili kila mzazi awese kujigharamia
 
Napitatu NDUGU
Ntarudi badae
Kaziiendelee
 
Kuna sababu 3 zitakazopelekea CCM ianguke kwa kuwa na mgombea mwenza mwanamke:

1. Mfumo dume bado una nguvu katika makabila mengi hususani vijijini. Wananchi wengi hawaamini kama wanaweza kuongozwa na rais mwanamke hivyo kumnyima kura.

2. Kushindwa kwa Bi.Anne Makinda katika kulisimamia bunge lililopita ambalo lilitawaliwa na ubabe na kubebwa CCM. Ni katika bunge hili wananchi wameshuhudia sheria mbalimbali za hovyo zikipitishwa kibabe na serikali chini ya ulinzi mkali wa spika Anne.

3. Mgombea mwenza ndiye alikuwa makamu Mwenyekiti wa Bunge la Katiba; chini ya usimamizi wake tulishuhudia kanuni zikivunjwa ili kuichakachua katiba ya wananchi.

Ni katika kipindi hicho tulishuhudia matusi, kejeli, na vitimbi kutoka kwa wajumbe, huku wakitetewa na uongozi wao. Na kutokana na uchakachuaji huo ndipo ukawa ilizaliwa rasmi chini ya mgombea huyu.

Leo hii anaenda kwa wananchi waliotoa maoni ya katiba kutaka achaguliwe urais...ccm na Magufuli mnalo mwaka huu.
Kumbe Ndio maana kina Bashiru walitaka kumpindua asiapishwe ..
 
Back
Top Bottom