Hii imenikumbusha ya vijana wa kirashia kuogelea kwenye mabwawa ya barafu ili kuonyesha kuwa kwako fit. Tanzania inarejea enzi zake, kila kijana kujifunza ulinzi binafsi.
Huyu Jamaa alikuwa msajili wa bodi ya wahandisi Tanzania, nilimshangaa sana yeye pamoja na Magufuri kuhusisha siasa siku ya mkutano wa mwaka wa wahandisi pale mlimani city
Na waanguke tu hadi wafie majukwaani maana tumechoka na usanii wao...hakuna namna nyingine waanguke tu hadi wafie majukwaani, tumechoka na ze komedi zao, wapuuzi wakubwa!
Mgombea ubunge wa jimbo la Tunduru Kaskazini RAMO MAKANI amedondoka wakati akijaribu kupiga pushup kama Magufuli kabla ya kuhutubia mkutano,kitendo kilichosababisha wanananchi wamzomee na kumcheka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.