Gwallo
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 3,705
- 5,316
POLE KAMANDA; PUSH UP KAMA KAWAIDA
![]()
Hii adhabu haitoshi lazima wawekwe ndani. Mnajichagulia adhabu nyepesi hivi!!!!!!!!!!!
POLE KAMANDA; PUSH UP KAMA KAWAIDA
![]()
Mgombea ubunge wa CCM jimbo la Tunduru Kaskazini, Injinia Ramo Makani, alianguka jukwaani wakati wa kampeni. Alikuwa anaruka kichurachura kuwathibitishia wapiga kura yuko fiti kiafya ndipo 'aibu' hiyo ilipomkuta.
View attachment 293616
My take: Acheni Mungu aitwe Mungu!
RubbishMAGUFULIKA NDIO HABARI YA MJINI...sasa hivi hadi kwenye harusi....maharusi WANAMAGUFULIKA..... Kuanzia November 2015....sehemu za kazi kabla ya kuanza kazi ... KUMAGUFULIKA baada ya kabla kwenda Nyumbani watu watakuwa wanamagufulika tena!!
mbona umetoka nje ya THREAD hii mkuu.
Anzisha yako na siyo kudandia gari moshi kwa mbele.
Eeeeeehh... safi sana Hizo ni sifa za kijinga
Kuna ndoto nimeota,atatokea mmoja atafia jukwaani na huo ndio utakuwa mwisho wa CCM ya Magufuli!!