Mgombea CCM aanguka jukwaani akiruka kichurachura!

Msubiri jeikei nae lazima apige pushups si tayari amerudi kumnadi pombe??
 
Hawa wagombea wengine wanaiga vitu vilivyo nje ya uwezo wao kanakwamba hawajui wanzilishi wao anatumia moyo wa powerbank..

mtakufaa bure na mipresha kama waziri wenu...
 
Ndani ya CCM tutaona mengi mwaka huu! Sisahau fisi na sasa pushup!!
 
ccm wamejisahau sana....wamelewa madaraka na sasa wanaonesha dharau za wazi kabisa kwa wananchi..!!
Wananchi wanataka yale yaliyowashinda kwa miaka zaidi ya 50... Hizo pushups na vichura cd, dvd na gym zipo tutangalia za viwango..!!
 
kutokana na iman yao basi hawezi kuwa mbunge maana afya yake ni mbovu!!
 
Wanamuiga Magufuli, Mwenzao akipiga Push up usiku anafanyiwa massage na vibinti vizuri vizuri vya kwenye msafala wa Kampeni kama kawaida yao kwa hiyo akiamka hana uchovu kuliko hawa wengine hawajielewi na hawana mazoezi yeyote
 
shikamoo kaka, loading. I will be back!
 
Daaa hiii kali zaidi nchi kama marekani ikiona haya wanatucheka sana. Eti huu upuuzi ndo tunasema siasa zetu zimekua hahaaaa....
 
1.jpg
 
ccm wamejisahau sana....wamelewa madaraka na sasa wanaonesha dharau za wazi kabisa kwa wananchi..!!
Wananchi wanataka yale yaliyowashinda kwa miaka zaidi ya 50... Hizo pushups na vichura cd, dvd na gym zipo tutangalia za viwango..!!
mpaka sasa najiuliza lengo la pushup ni nini nakosa jibu
 
Wanamuiga Magufuli, Mwenzao akipiga Push up usiku anafanyiwa massage na vibinti vizuri vizuri vya kwenye msafala wa Kampeni kama kawaida yao kwa hiyo akiamka hana uchovu kuliko hawa wengine hawajielewi na hawana mazoezi yeyote
bongo muvist
 
Uwezo wa kufikiri unapofika kikomo ndo tatizo sasa
 
mpaka sasa najiuliza lengo la pushup ni nini nakosa jibu

pushup ni kama kijembe kwa lowasa kumwambia kua hayuko fit na hivyo hawezi kupewa madaraka,,,,ni kama wanamwambia kama yuko fit,ajibu nae kwa push up
 
Back
Top Bottom