Mgombea afariki kwa shinikizo baada ya matokeo kutoka

Na gamba mwingine huku kahama yuko hosptl toka jana alipo shindwa na mwanamke 1 safi toka chama cha ukombozi..!!pipozzzzzz......!!!
 
Na gamba mwingine ANAITWA MSEVENI huku kahama yuko hosptl toka jana alipo shindwa na mwanamke 1 safi toka chama cha ukombozi..!!pipozzzzzz......!!!
 
Ni mgombea wa CCM wa nafasi ya Mwenyekiti wa Kitongoji cha Nagwijima huko wilayani Kibondo, amefariki dunia jana kwa shinikizo la damu mara baada ya kujulishwa matokeo kuwa mgombea wa CHADEMA kashinda uchaguzi, alidondoka chini na alipofikishwa hospitali alikuwa declared dead.

Mimi najiuliza kwa style hii November mwaka 2015 itakuwaje?nadhani tutapata habari kama hizi kwa baadhi ya wabunge.

Chanzo: Radio Kwizera -kipindi cha matukio leo saa 1 Asubuhi.
Aise kama CHADEMA wamefika kijiji cha NYAGWIJIMA basi CCM itabaki kwa wagogo!! Hiki kijiji nakifahamu sana ni interior km kama 10 unaingia Burundi! Ngoja nidadisi vijiji vingine vya jirani kama Mabamba,Mkarazi,Mgunzu n.k
Heko wana Kigoma kuwa mstari wa mbele kuleta mabadiliko inchini!
 
Mungu amlaze pema peponi amina. Haya mambo ya dunia tusiweke roho zetu huko, hee jamani mka kama gari yako ikipata matatizo, ufe! Si utatafuta ingine
 
Ni mgombea wa CCM wa nafasi ya Mwenyekiti wa Kitongoji cha Nagwijima huko wilayani Kibondo, amefariki dunia jana kwa shinikizo la damu mara baada ya kujulishwa matokeo kuwa mgombea wa CHADEMA kashinda uchaguzi, alidondoka chini na alipofikishwa hospitali alikuwa declared dead.

Mimi najiuliza kwa style hii November mwaka 2015 itakuwaje?nadhani tutapata habari kama hizi kwa baadhi ya wabunge.

Chanzo: Radio Kwizera -kipindi cha matukio leo saa 1 Asubuhi.

Mtaani kwangu mgombea wa sisiem aliyeshindwa tokeajuzi hadi leo hajatoka nje nasikia anahari mbaya.
 
Back
Top Bottom