safi sana,maesrow yapungueni mgombea wa ccm wa nafasi ya mwenyekiti wa kitongoji cha nagwijima huko wilayani kibondo,amefariki dunia jana kwa shinikizo la damu mara baada ya kujulishwa matokeo kuwa mgombea wa chadema kashinda uchaguzi,alidondoka chini na alipofikishwa hospitali alikuwa declared dead.mimi najiuliza kwa style hii november mwaka 2015 itakuwaje?nadhani tutapata habari kama hizi kwa baadhi ya wabunge.
Chanzo: Radio kwizera -kipindi cha matukio leo saa 1 asubuhi.
Ni mgombea wa CCM wa nafasi ya mwenyekiti wa Kitongoji cha Nagwijima huko wilayani Kibondo,amefariki dunia jana kwa shinikizo la damu mara baada ya kujulishwa matokeo kuwa mgombea wa CHADEMA kashinda uchaguzi,alidondoka chini na alipofikishwa hospitali alikuwa declared dead.Mimi najiuliza kwa style hii November mwaka 2015 itakuwaje?nadhani tutapata habari kama hizi kwa baadhi ya wabunge.
Chanzo: Radio Kwizera -kipindi cha matukio leo saa 1 Asubuhi.
nduuuuu!!!!! Haya ndo matatizo ya CCM kukuaminisha kuwa utaongoza milele, ukiambiwa utaongoza milele fikiri mara mbilimbili.
Nenda Motoni ewe gamba..
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Nenda Motoni ewe gamba..
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums