Mgombea afariki kwa shinikizo baada ya matokeo kutoka

ngonani

JF-Expert Member
Aug 27, 2012
1,366
596
Ni mgombea wa CCM wa nafasi ya Mwenyekiti wa Kitongoji cha Nagwijima huko wilayani Kibondo, amefariki dunia jana kwa shinikizo la damu mara baada ya kujulishwa matokeo kuwa mgombea wa CHADEMA kashinda uchaguzi, alidondoka chini na alipofikishwa hospitali alikuwa declared dead.

Mimi najiuliza kwa style hii November mwaka 2015 itakuwaje?nadhani tutapata habari kama hizi kwa baadhi ya wabunge.

Chanzo: Radio Kwizera -kipindi cha matukio leo saa 1 Asubuhi.
 
Hao ni political entrepreneur, wamewekeza hela za mikopo waingie ofisini wakitegemea baadae watapata mgao wa escrow! sasa unaambiwa umeshindwa inakuwaje ni investment ya 100 milion uliotumia??
 
ni mgombea wa ccm wa nafasi ya mwenyekiti wa kitongoji cha nagwijima huko wilayani kibondo,amefariki dunia jana kwa shinikizo la damu mara baada ya kujulishwa matokeo kuwa mgombea wa chadema kashinda uchaguzi,alidondoka chini na alipofikishwa hospitali alikuwa declared dead.mimi najiuliza kwa style hii november mwaka 2015 itakuwaje?nadhani tutapata habari kama hizi kwa baadhi ya wabunge.

Chanzo: Radio kwizera -kipindi cha matukio leo saa 1 asubuhi.
safi sana,maesrow yapungue
 
Ni mgombea wa CCM wa nafasi ya mwenyekiti wa Kitongoji cha Nagwijima huko wilayani Kibondo,amefariki dunia jana kwa shinikizo la damu mara baada ya kujulishwa matokeo kuwa mgombea wa CHADEMA kashinda uchaguzi,alidondoka chini na alipofikishwa hospitali alikuwa declared dead.Mimi najiuliza kwa style hii November mwaka 2015 itakuwaje?nadhani tutapata habari kama hizi kwa baadhi ya wabunge.

Chanzo: Radio Kwizera -kipindi cha matukio leo saa 1 Asubuhi.

eSCROW INAENDELEA KUUA
 
JF imetekwa na vijana wa ukawa, naona wale vijana wa ccm hawaonekani tena humu kulikoni wadau
 
Mbowe,Lipumba na Mbatia watajibu nini kwa mungu kwa kusababisha makusudi kifo cha huyo mgombea!!?
 
hatufurahi kifo cha mtu yeyote, ila kwa CCM nadhani huo ni mkono wa mungu, haiwezekani wizi mkubwa na mdogo uwe sehemu ya maisha ili hali watu wanakosa huduma bora za jamii, kodi tunalipa lakn hela zinaibwa kama kawa
 
Utakuta alikuwa mwenyekiti wa kitongoji kwa miaka 30.
Sasa hivi wajitayarishe kisaikolojia bila hivyo watakufa sana.
 
Kwa staly hii ccm kutumia nguvu nyingi kutaka ushindi kwa kutoa rushwa ulagai wizi udanganyifu lazima lazima tushuhudie vifo vingi kutoka chama hii inayo kataliwa na wananchi
 
Na walishakula mpaka wakawa na mavitambi kama ya komba ..watakuwa wanaanguka tu chini puuu
 
Inasikitisha kusikia taarifa kama hii ina maana uhai wa mtu huyo ulikuwa umeshikiliwa na madaraka?????
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom