Ni mgombea wa CCM wa nafasi ya Mwenyekiti wa Kitongoji cha Nagwijima huko wilayani Kibondo, amefariki dunia jana kwa shinikizo la damu mara baada ya kujulishwa matokeo kuwa mgombea wa CHADEMA kashinda uchaguzi, alidondoka chini na alipofikishwa hospitali alikuwa declared dead.
Mimi najiuliza kwa style hii November mwaka 2015 itakuwaje?nadhani tutapata habari kama hizi kwa baadhi ya wabunge.
Chanzo: Radio Kwizera -kipindi cha matukio leo saa 1 Asubuhi.
Mimi najiuliza kwa style hii November mwaka 2015 itakuwaje?nadhani tutapata habari kama hizi kwa baadhi ya wabunge.
Chanzo: Radio Kwizera -kipindi cha matukio leo saa 1 Asubuhi.