Je, Dr. Sheni atasifiwa ana busara ikitokea amekubali Hamadi ameshinda na atangazwe kuwa rais wa Z,bar?
Je, tutamwona Hamadi ana busara endapo atakubali uchaguzi urudiwe?
Zipi busara za wawili hawa ambao tunawataka Zitumike?.
Angalisho: Busara inaweza ikawa hasara kwa upande mmoja. Mpaka sasa busara ya Hamadi ndiyo inayomfanya asitangazwe kuwa mshindi wa uchaguzi wa October 25, 2015.