Mgogoro wa ardhi waibuka Kindondoni, mawe yapambanishwa na risasi

officialBossmtoto

JF-Expert Member
Jul 1, 2019
369
1,178
Kuna muda nilipita nikakuta boda na raia wengi sana hapo maeneo ya kinondoni kwa Tarimba.

Boda akawa amesema ni mgogoro wa ardhi ambao kuna tajiri anaitaka hio mali kwa nguvu.


Sina taarifa kamili wala za uhakika. Ila sasa imefika hatua silaha za moto na mawe yanatumika.
 
Maskini wengi hawana akili.
Kijumba vidirisha vidogo kama nyumba ya popo wanatokea matajiri wawapatie pesa na ardhi sehemu yenye hewa safi wanatia vurugu.
Hakuna mtu wa kuwapoka ardhi wananchi kwa nguvu tena mjini kabisa.
 
Back
Top Bottom