Wapumbavu kama wewe hatutwaachia muingize ujing wenu hapa peleka ccm kwenu umbeya wako huko unaandika pumba lazima upewe pumba kaa pembeni pumbavu wewe
point of educationSasa ni dhahiri kuwa kuna mgogoro wa chini kwa chini ndani ya CHADEMA kati ya viongozi wake, ingawa viongozi wake wamekuwa wakifanya kila jitihada kuficha
Tukio la hivi karibuni viongozi wake wamekuwa wakifanya kila njia kuhakikisha suala la Mnyika kumtumia sms za vitisho Mh. Mwigulu Nchemba linamalizwa nje ya vyombo vya usalama, viongozi wamekuwa wakimshutumu sana Mnyika kwa uamuzi alioufanya wa kutuma sms za vitisho kwa Nchemba hali inayokifanya chama kutumia nguvu kubwa kushughulikia suala hilo, pia wamekuwa wakimshutumu kwa uamuzi wake wa kwenda kufanya mkutano huko Singida hadi kusababisha mauaji.
Pia umetokea msuguano kati ya Mbowe na Zitto kutokana na uamuzi wa Zitto kususia kutoka nje ya Ukumbi wa Bunge pamoja na wabunge wengine wa CHADEMA baada ya kutokea msuguano kati Tundu Lissu na Werema, inasemekana siku hiyo Mbowe ambaye hakuwepo Bungeni alimtumia sms Zitto akimshutumu Zitto kwa uamuzi wake wa kubaki ukumbini wakati wenzake wanatoka nje, hata hivyo inasemekana Zitto alimjibu Mbowe kuwa suala lile lilikuwa kati ya Lissu na Werema hivyo lilikuwa halimhusu yeye,
NOTE: Kama hali iko hivi mapema itakuwaje wakikabidhiwa nchi, si watachinjana hawa
Nawasilisha!!!?
hili ni jukwaa la siasa majukwaa ya wasio na vyama yapo tena mengi hapa JF mfano MMU, jukwaa la sayansiYaani mleta hoja hapo kwenye CHADEMA ungeweka CCM watu wote wangekuunga mkono lakini ukishaiongelea CDM tu tegemea matusi hata kama ukiweka vyanzo vya kuaminika.Hili si jukwaa huru tena bali ni jukwaa la kukisifia chama.Hili linanikera sana,binafsi sina chama maana kwangu siasa za bongo ni za waganga njaa tu lakini kama tunaongelea siasa jamani tukubali na kukosolewa au vinginevyo yaanzishwe majukwaa ya vyama kimoja kimoja ndani ya Jamiiforum kwamba nikiingia jukwaa la CCM nikaisema vibaya nitukanwe na vivi hivyo kwa CDM.
Sasa ni dhahiri kuwa kuna mgogoro wa chini kwa chini ndani ya CHADEMA kati ya viongozi wake, ingawa viongozi wake wamekuwa wakifanya kila jitihada kuficha
Tukio la hivi karibuni viongozi wake wamekuwa wakifanya kila njia kuhakikisha suala la Mnyika kumtumia sms za vitisho Mh. Mwigulu Nchemba linamalizwa nje ya vyombo vya usalama, viongozi wamekuwa wakimshutumu sana Mnyika kwa uamuzi alioufanya wa kutuma sms za vitisho kwa Nchemba hali inayokifanya chama kutumia nguvu kubwa kushughulikia suala hilo, pia wamekuwa wakimshutumu kwa uamuzi wake wa kwenda kufanya mkutano huko Singida hadi kusababisha mauaji.
Pia umetokea msuguano kati ya Mbowe na Zitto kutokana na uamuzi wa Zitto kususia kutoka nje ya Ukumbi wa Bunge pamoja na wabunge wengine wa CHADEMA baada ya kutokea msuguano kati Tundu Lissu na Werema, inasemekana siku hiyo Mbowe ambaye hakuwepo Bungeni alimtumia sms Zitto akimshutumu Zitto kwa uamuzi wake wa kubaki ukumbini wakati wenzake wanatoka nje, hata hivyo inasemekana Zitto alimjibu Mbowe kuwa suala lile lilikuwa kati ya Lissu na Werema hivyo lilikuwa halimhusu yeye,
NOTE: Kama hali iko hivi mapema itakuwaje wakikabidhiwa nchi, si watachinjana hawa
Nawasilisha!!!?
unawasilisha umbeya?

Lisemwalo lipo...
Na bado! Zitto vipi mbona hajasusa?

Leo kuna wachina wamekutwa katika harakati za kuchimba madini,kwenye mbuga ya wanyama ya Katavi pasipokuwa na mkataba maalumu...Upande wa pili watendaji ambao ndiyo wenye chama tawala wako bize kwenye mitandao,wakiwachafua viongozi wa upinzani.
Ni kweli kabisa tumeshikwa patamu that why tukishindwa hoja tunawatusi wale wenye hoja kuwa "sio kila mwenye nywele ana uwezo wa kufikiri,
Tumeshikwa patamu mkapa wapinzani wetu wakisema wana uchungu wa taifa hili sisi tunawaambia waende leba kujifungua.
Tumeshikwa pabaya mpaka tunatunga msg na kujitumia na kuzusha kuwa tumetumiwa na kutishiwa na wapinzani wetu.
Tumeshikwa pabaya mpaka tunaomba muongozo katikati ya hotuba ya wapinzani wetu na kuomba baadhi ya pages za hutuba husika zisisomwe mbele ya watanzania.
Aisee tusameheni msitushike pabaya hadi kufikia hatua ya kuacha kujadili hotuba za mawaziri na kuanza kushambulia wapinzani ambao hawana dola. Inshort tumepanic.
Tunaomba msamaha wakuu.
Hata kama ni kweli tutaaminije uyasemayo??? Source plz...